Pre GE2025 Napendekeza Mkoa wa Samia uanzishwe kumpa hamasa Kiongozi na jemedari wetu jasiri azidi kutuletea maendeleo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kisesa Mwanza iitwe Samia manispaa
 
Mkoa wa Samia si Kizimkazi tayari, au?
 
Mkoa wa katavi ama songwe mmoja wapo TUBADILISHE

Naomba kuwasilisha
 
Na mkoa wa Nyerere, Mkoa wa Mwinyi, Mkoa wa Mkapa, Mkoa wa Jakaya, Mkoa wa Magufuri.

Mkoa wa Kolimba, Mkoa wa Malecele, Mkoa wa Dr Omar, Mkoa wa Kawawa, Mkoa wa Musuguri.

Hao watu wameifanyia nchi kazi nzuri sana, NI vyema tukaipa mikoa kadhaa majina yao.
 
Kwanini apewe mkoa wake ,
Anapotimiza majukumu yake ?

Naomba ufute hiyo I'd unaikosea uandike chawa wa mama
 
Nikutukane tusi gani? Chawa promax wewe go to hell
 
Siku wahi kujua kama mirembe siku hizi vichaa mnaruhusiwa kutumia simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…