FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Ni kupata watendaji makini tu, sio unamuokota maharage huko unamtupa sehemu nyeti kama hiyo na bla bla za sayansi...Yaan hapo kwanza watakwambia wanataka trillion 15 za awali ili kufanya implementation wakishazila zikikata hawajafanya kitu wanaomba waongezwe trillion 10 kufumua mfuko wa zamani chakavu, ni mwendo wa Kula hela tu
SIO KWA TANZANIA HII MKUU NCHI BADO IPO NYUMA SANA WATU WAKE WENGI NI WAJINGA MNOMfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.
Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa moja itajichora ramani ya mfumo mzima wa nguzo, na jinsi umeme ulivyo upatikanaji wake kwa wakati husika.
Taarifa za kukatika umeme zitakuwa zinajituma zenyewe automatically kwenye data feed ya mfumo, ni kiasi cha kufungia alerts kama unavyofungua notifications kwenye simu, na meneja wa mkoa husika wa Tamesco ataweza kuwa na live feed ya hali ya upatikanaji umeme.
Hii itarahisisha utoaji taarifa za kuanguka kwa nguzo, nk, ambapo mtoa taarifa atataja code number ya nguzo, na moja kwa moja Geomap itaonyesha nguzo ilipo na itashugulikiwa haraka sana. Hata kuomba umeme itakuwa rahi kwenye masuala ya Geolocation ya muombaji.
Ni hayo tu..
Wanamaliza kilomita ya mwisho kwa guta ili waonekane eti wanafanana na wananchiNchi yetu ina matatizo makubwa. Hata ukifanya hivi, hizo sensor nazo zitahitaji sensor za kuonyesha sensor za mwanzo zinafanya kazi. Hii ndiyo Tanzania ya viongozi kusafiri kwa gari la kifahari kwa km 399 halafu wanamalizia kilomita ya mwisho kwa kupanda ngamia ili kubana matumizi.
Kumbe hizi nguzo zina sensor zimefichwa sio? Pia kwanini wankuuliza mtaa badala ya kuuliza code number ya nguzo ili waitrack GPS coordinate yake?Kama nitakuwa sahihi huo mfumo upo Tanesco muda mrefu tuu.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL.Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.
Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa moja itajichora ramani ya mfumo mzima wa nguzo, na jinsi umeme ulivyo upatikanaji wake kwa wakati husika.
Taarifa za kukatika umeme zitakuwa zinajituma zenyewe automatically kwenye data feed ya mfumo, ni kiasi cha kufungia alerts kama unavyofungua notifications kwenye simu, na meneja wa mkoa husika wa Tamesco ataweza kuwa na live feed ya hali ya upatikanaji umeme.
Hii itarahisisha utoaji taarifa za kuanguka kwa nguzo, nk, ambapo mtoa taarifa atataja code number ya nguzo, na moja kwa moja Geomap itaonyesha nguzo ilipo na itashugulikiwa haraka sana. Hata kuomba umeme itakuwa rahi kwenye masuala ya Geolocation ya muombaji.
Ni hayo tu..
Kila anaeweka line mpya ya umeme zile nguzo na mita yake lazima zichukuliwe GPS coordinate zake,hii lipo muda mrefu sana.Kumbe hizi nguzo zina sensor zimefichwa sio? Pia kwanini wankuuliza mtaa badala ya kuuliza code number ya nguzo ili waitrack GPS coordinate yake?
Ni wazo zuri tanesco wanapaswa wajenge substation za kutoshaSiyo Kwa Tanzania hii hao Tanesco wanayo Mifumo Yao ya kuhifadhi data za kijiografia (GIS & mpya hiyo DUMA) ingawa zipo kisiasa mno Kwa maana kila Mkurugenzi akiingia anakuja na wazo lake hivyo kufanya Mifumo mingi inadumaa na kurudi nyuma Kwa kila utawala .
Ndani ya hiyo Mifumo kuna kila kitu kinachohusu njia za umeme (HV , MV & LV) kuanzia nguzo vishikio vya waya na waya zenyewe tena Kwa urefu na ukubwa wake tatizo Mifumo ya Tanesco iko na umbali mkubwa mno hivyo kusema vifungwe vifaa vya kujua fault iko wapi hii bado mfano njia ya 11KV kutoka KATAVI power station inatembea hadi wilaya ya Tanganyika iko na 100+ Km tena inapita kwenye mapori na misitu hapo hizo fault tambuzi utafunga ngapi na Kwa mfumo gani zaidi ya kujitia uchizi tu( Hapo karibu kila mkoa upo na long distance feeders). Hapa Tanesco wangepunguza urefu wa njia za umeme Kwa kujenga vituo vya kupozea umeme vingi kama walivyoanza na mradi wa grid imara hii itasaidia katika kuweza kuzifahamu shida za njia hizo na kufanya wepesi wa kuzifungia hizo fault tambuzi na kufanya mfumo ukae vizuri Kwa geografia pokezi ya taarifa za wateja na miundombinu Kwa ujumla.
MkuuMfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.
Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa moja itajichora ramani ya mfumo mzima wa nguzo, na jinsi umeme ulivyo upatikanaji wake kwa wakati husika.
Taarifa za kukatika umeme zitakuwa zinajituma zenyewe automatically kwenye data feed ya mfumo, ni kiasi cha kufungia alerts kama unavyofungua notifications kwenye simu, na meneja wa mkoa husika wa Tamesco ataweza kuwa na live feed ya hali ya upatikanaji umeme.
Hii itarahisisha utoaji taarifa za kuanguka kwa nguzo, nk, ambapo mtoa taarifa atataja code number ya nguzo, na moja kwa moja Geomap itaonyesha nguzo ilipo na itashugulikiwa haraka sana. Hata kuomba umeme itakuwa rahi kwenye masuala ya Geolocation ya muombaji.
Ni hayo tu..
Polisi na bunduki na computer vituko vitupu ujue hata wale wa cyber crime tangu wapewe machine hawajawahi kamata hata mhalifu mmoja wanazitumia kucheza karata tuHahaaaa... Hivi ile issue ya miaka ya nyuma ya kuweka mifumo ya computers kwenye vituo vyote vya polisi vya wilaya ili kuunganisha kwenye mtandao nchi nzima liliishia wapi vile???
Eti Ila upo Tanzania mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] what happened to Tanzania?Wazo zuri
Ila upo tanzania mkuu[emoji28][emoji28]
Mcheki manager wa umeme china,anaitwa kim yu nahman
Huku we waambie tu ufisadi[emoji23]
Kuna SCADa inafanya yote hayoo.....kwa Grid yoote....kinachofuata kurudi kwenye distri bution piaaa.....mawazo mazuri piaaMfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.
Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa moja itajichora ramani ya mfumo mzima wa nguzo, na jinsi umeme ulivyo upatikanaji wake kwa wakati husika.
Taarifa za kukatika umeme zitakuwa zinajituma zenyewe automatically kwenye data feed ya mfumo, ni kiasi cha kufungia alerts kama unavyofungua notifications kwenye simu, na meneja wa mkoa husika wa Tamesco ataweza kuwa na live feed ya hali ya upatikanaji umeme.
Hii itarahisisha utoaji taarifa za kuanguka kwa nguzo, nk, ambapo mtoa taarifa atataja code number ya nguzo, na moja kwa moja Geomap itaonyesha nguzo ilipo na itashugulikiwa haraka sana. Hata kuomba umeme itakuwa rahi kwenye masuala ya Geolocation ya muombaji.
Ni hayo tu..
Naongelea zote sasa, hata za zamaniKila anaeweka line mpya ya umeme zile nguzo na mita yake lazima zichukuliwe GPS coordinate zake,hii lipo muda mrefu sana.