Napendekeza nguzo zote za umeme zichukuliwe GPS coordinates, na zifungwe sensor , taarifa zote zilishwe kwenye mfumo wa Geomap ya Tanesco.

Yaan hapo kwanza watakwambia wanataka trillion 15 za awali ili kufanya implementation wakishazila zikikata hawajafanya kitu wanaomba waongezwe trillion 10 kufumua mfuko wa zamani chakavu, ni mwendo wa Kula hela tu
Ni kupata watendaji makini tu, sio unamuokota maharage huko unamtupa sehemu nyeti kama hiyo na bla bla za sayansi...
 
Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.

Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa moja itajichora ramani ya mfumo mzima wa nguzo, na jinsi umeme ulivyo upatikanaji wake kwa wakati husika.

Taarifa za kukatika umeme zitakuwa zinajituma zenyewe automatically kwenye data feed ya mfumo, ni kiasi cha kufungia alerts kama unavyofungua notifications kwenye simu, na meneja wa mkoa husika wa Tamesco ataweza kuwa na live feed ya hali ya upatikanaji umeme.

Hii itarahisisha utoaji taarifa za kuanguka kwa nguzo, nk, ambapo mtoa taarifa atataja code number ya nguzo, na moja kwa moja Geomap itaonyesha nguzo ilipo na itashugulikiwa haraka sana. Hata kuomba umeme itakuwa rahi kwenye masuala ya Geolocation ya muombaji.

Ni hayo tu..
SIO KWA TANZANIA HII MKUU NCHI BADO IPO NYUMA SANA WATU WAKE WENGI NI WAJINGA MNO

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Nchi yetu ina matatizo makubwa. Hata ukifanya hivi, hizo sensor nazo zitahitaji sensor za kuonyesha sensor za mwanzo zinafanya kazi. Hii ndiyo Tanzania ya viongozi kusafiri kwa gari la kifahari kwa km 399 halafu wanamalizia kilomita ya mwisho kwa kupanda ngamia ili kubana matumizi.
Wanamaliza kilomita ya mwisho kwa guta ili waonekane eti wanafanana na wananchi
 
Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.

Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa moja itajichora ramani ya mfumo mzima wa nguzo, na jinsi umeme ulivyo upatikanaji wake kwa wakati husika.

Taarifa za kukatika umeme zitakuwa zinajituma zenyewe automatically kwenye data feed ya mfumo, ni kiasi cha kufungia alerts kama unavyofungua notifications kwenye simu, na meneja wa mkoa husika wa Tamesco ataweza kuwa na live feed ya hali ya upatikanaji umeme.

Hii itarahisisha utoaji taarifa za kuanguka kwa nguzo, nk, ambapo mtoa taarifa atataja code number ya nguzo, na moja kwa moja Geomap itaonyesha nguzo ilipo na itashugulikiwa haraka sana. Hata kuomba umeme itakuwa rahi kwenye masuala ya Geolocation ya muombaji.

Ni hayo tu..
GOD BLESS AND PROTECT ISRAEL.

ISRAEL FOREVER.

ISRAEL THE LAND JEWS THE PEOPLE.
 
Kumbe hizi nguzo zina sensor zimefichwa sio? Pia kwanini wankuuliza mtaa badala ya kuuliza code number ya nguzo ili waitrack GPS coordinate yake?
Kila anaeweka line mpya ya umeme zile nguzo na mita yake lazima zichukuliwe GPS coordinate zake,hii lipo muda mrefu sana.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Siyo Kwa Tanzania hii hao Tanesco wanayo Mifumo Yao ya kuhifadhi data za kijiografia (GIS & mpya hiyo DUMA) ingawa zipo kisiasa mno Kwa maana kila Mkurugenzi akiingia anakuja na wazo lake hivyo kufanya Mifumo mingi inadumaa na kurudi nyuma Kwa kila utawala .
Ndani ya hiyo Mifumo kuna kila kitu kinachohusu njia za umeme (HV , MV & LV) kuanzia nguzo vishikio vya waya na waya zenyewe tena Kwa urefu na ukubwa wake tatizo Mifumo ya Tanesco iko na umbali mkubwa mno hivyo kusema vifungwe vifaa vya kujua fault iko wapi hii bado mfano njia ya 11KV kutoka KATAVI power station inatembea hadi wilaya ya Tanganyika iko na 100+ Km tena inapita kwenye mapori na misitu hapo hizo fault tambuzi utafunga ngapi na Kwa mfumo gani zaidi ya kujitia uchizi tu( Hapo karibu kila mkoa upo na long distance feeders). Hapa Tanesco wangepunguza urefu wa njia za umeme Kwa kujenga vituo vya kupozea umeme vingi kama walivyoanza na mradi wa grid imara hii itasaidia katika kuweza kuzifahamu shida za njia hizo na kufanya wepesi wa kuzifungia hizo fault tambuzi na kufanya mfumo ukae vizuri Kwa geografia pokezi ya taarifa za wateja na miundombinu Kwa ujumla.
Ni wazo zuri tanesco wanapaswa wajenge substation za kutosha
 
Hii Tanzania ambayo ukienda kuomba umeme wanakwambia hamna nguzo wakati huo huo kwenye vituo vyao nguzo zinaozea chini. Lakini wanasahau kuwa nchi imejaa vichaka amabavyo vimefurika miti kama ekaritus ambazo huitajika kwa ajili ya kazi ya kusambaza umeme
 
Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.

Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa moja itajichora ramani ya mfumo mzima wa nguzo, na jinsi umeme ulivyo upatikanaji wake kwa wakati husika.

Taarifa za kukatika umeme zitakuwa zinajituma zenyewe automatically kwenye data feed ya mfumo, ni kiasi cha kufungia alerts kama unavyofungua notifications kwenye simu, na meneja wa mkoa husika wa Tamesco ataweza kuwa na live feed ya hali ya upatikanaji umeme.

Hii itarahisisha utoaji taarifa za kuanguka kwa nguzo, nk, ambapo mtoa taarifa atataja code number ya nguzo, na moja kwa moja Geomap itaonyesha nguzo ilipo na itashugulikiwa haraka sana. Hata kuomba umeme itakuwa rahi kwenye masuala ya Geolocation ya muombaji.

Ni hayo tu..
Mkuu

Nguzo kama nguzo haina uhusiano wowote na umeme,ni mechanical pivot ya ku-support wires.

Wires ndio zinabeba umeme,na since kuna electrical continuity tayari kuna system ya kuona kila kitu kupitia huo mwanya wa continuity kwa technology inaitwa scada

Infact scada ya kuona network nzima ni economically feasible kwa network ya nguzo za kuanzia 400kV to walao 33kV.

Kwenye nguzo za 33kV mtaani kuna fiber optic cable imepita juu katika across the whole network kukusanya ujinga wote

Wire ukikatika kokote kwenye nguzo yeyote mtaani popote kwenye mfumo wa 400kV mpaka 33kV inaonekana vizuri tu

Nguzo za mitaani sio asset za maana kiivyo kuweka huo mfumo wa mabilioni ya pesa kiasi hicho

Vitu ambavyo ni worthy assets ni labda transformer kubwa hata za chini,meter ya kupima umeme majumbani,substations,etc...sio nguzo

Nguzo sio asset ya msingi kiivyo.....kwanza network nzima inaonekana physically kwenye computer za scada centre

Nadhani bado sijaelewa unataka nini hasa chenye kuleta economic sense na kinarudisha hiyo investment.

Nguzo?Ambazo ni just mechanical pivots?Nah

I just recalled my undergrad electrical class here
 
Hahaaaa... Hivi ile issue ya miaka ya nyuma ya kuweka mifumo ya computers kwenye vituo vyote vya polisi vya wilaya ili kuunganisha kwenye mtandao nchi nzima liliishia wapi vile???
Polisi na bunduki na computer vituko vitupu ujue hata wale wa cyber crime tangu wapewe machine hawajawahi kamata hata mhalifu mmoja wanazitumia kucheza karata tu
 
Wazo zuri
Ila upo tanzania mkuu[emoji28][emoji28]

Mcheki manager wa umeme china,anaitwa kim yu nahman

Huku we waambie tu ufisadi[emoji23]
Eti Ila upo Tanzania mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] what happened to Tanzania?
 
Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme.

Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa moja itajichora ramani ya mfumo mzima wa nguzo, na jinsi umeme ulivyo upatikanaji wake kwa wakati husika.

Taarifa za kukatika umeme zitakuwa zinajituma zenyewe automatically kwenye data feed ya mfumo, ni kiasi cha kufungia alerts kama unavyofungua notifications kwenye simu, na meneja wa mkoa husika wa Tamesco ataweza kuwa na live feed ya hali ya upatikanaji umeme.

Hii itarahisisha utoaji taarifa za kuanguka kwa nguzo, nk, ambapo mtoa taarifa atataja code number ya nguzo, na moja kwa moja Geomap itaonyesha nguzo ilipo na itashugulikiwa haraka sana. Hata kuomba umeme itakuwa rahi kwenye masuala ya Geolocation ya muombaji.

Ni hayo tu..
Kuna SCADa inafanya yote hayoo.....kwa Grid yoote....kinachofuata kurudi kwenye distri bution piaaa.....mawazo mazuri piaa
 
Back
Top Bottom