Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Badala ya kuotesha majani halafu tuzuie mbuzi wasile ni bora tusioteshe majani ili hao mbuzi wasipate pakula
Badala ya kuweka mianya ya rushwa kupitia katiba halafu tuzuie viongozi wasile rushwa ni bora tukaziba mianya ili hao viongozi wasipate pakulia hiyo rushwa
Badala ya kuingiza mitumba ya kubana miili ya dada zetu na kuwaweka uchi halafu tuzuie vijana wasibake na kununua wakaaji uchi(wauzaji) ni bora tuzuie hiyo mitumba ili ubakaji upungue
Na mifano mingine kama hiyo hapo juu napendekeza jamii kwa ujumla hasa wapenda maadili na kuchukizwa na mmomonyoko huu wa maadili kwa vijana na baadhi ya wazee njia hii itumike italiponya taifa
Nawasilisha