Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Katika kuonyesha imani, mapenzi, utii, kumkubali, kumtakia mema yote makubwa na madogo, kumhusudu, kumsifia na kumtukuza, napendekeza rahis wetu mtukufu mwenye maono, mpendwa na mpendeka, akapendeza, mwenye akili na busara nyingi, uwezo, utakatifu, ukuu, utukufu, vyote visivyo vya wa kawaida kutokana na mema na makubwa mengi aliyofanya au tuseme miujiza, aitwe Mungu yaishe ili afurahi, tufurahi, kuridhika sisi na viumbe wake wote wakubwa na wadogo hasa chawa na kunguni. Amina.