Napendekeza Rais wetu aitwe Mungu

Napendekeza Rais wetu aitwe Mungu

Hamjamuelewa muandishi.

Muandishi kachoka na uchawa. Sasa anaona ni Bora liwe Moja tu, aitwe Mungu Ili kelele zipungue. Hamaanishi kua aitwe Mungu Kwa mema, ila ni ki Shari. Kwamba sawa basi.
Wana JF wengi hawana hata D mbili.

Mada kidogo kama hii wameenda Opi, chaka.
 
WhatsApp Image 2024-11-06 at 7.22.04 PM.jpeg
 
Back
Top Bottom