Napendekeza Rais wetu aitwe Mungu

Napendekeza Rais wetu aitwe Mungu

Katika kuonyesha imani, mapenzi, utii, kumkubali, kumtakia mema yote makubwa na madogo, kumhusudu, kumsifia na kumtukuza, napendekeza rahis wetu mtukufu mwenye maono, mpendwa na mpendeka, akapendeza, mwenye akili na busara nyingi, uwezo, utakatifu, ukuu, utukufu, vyote visivyo vya wa kawaida kutokana na mema na makubwa mengi aliyofanya au tuseme miujiza, aitwe Mungu yaishe ili afurahi, tufurahi, kuridhika sisi na viumbe wake wote wakubwa na wadogo hasa chawa na kunguni. Amina.
Kabudi anasemaje ukimuuliza
 
Y

UMEYATIMBA NYOKO WEWE.
 
Mimi binafsi sipingi mtu kujiita Mungu au kuitwa Mungu .

Ila ni lazima ututajie sifa zako? Je unaumba?
Kinafarao walijita Mungu so it is era
 
Hiyo mkubaliane nyie mliokufuru(kafirun/makafiri)
 
Hamjamuelewa muandishi.

Muandishi kachoka na uchawa. Sasa anaona ni Bora liwe Moja tu, aitwe Mungu Ili kelele zipungue. Hamaanishi kua aitwe Mungu Kwa mema, ila ni ki Shari. Kwamba sawa basi.
"Kajenga hiki, kanunua kile, kapiga mwingi, kasambaza dawa, brbr, shle, kaleta maji, mvua ...kila kitu." Mtu wa namna hii, hastahili jina flani, lipi kama sio hilo?! Yy kapendkeza, Chawa toeni pendekezo kama mwaona jamaa kakosea ...nk
 
Back
Top Bottom