Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hakuna binadamu aliye kamilika ndiyo maana una lala, sinzia unaenda chooni na mengine mengi ambayo siwezi kuyataja unapokuwa umelala wengine wako macho kwakifupi hakuna binadamu aliye kamilikaKatika kuonyesha imani, mapenzi, utii, kumkubali, kumtakia mema yote makubwa na madogo, kumhusudu, kumsifia na kumtukuza, napendekeza rahis wetu mtukufu mwenye maono, mpendwa na mpendeka, akapendeza, mwenye akili na busara nyingi, uwezo, utakatifu, ukuu, utukufu, vyote visivyo vya wa kawaida kutokana na mema na makubwa mengi aliyofanya au tuseme miujiza, aitwe Mungu yaishe ili afurahi, tufurahi, kuridhika sisi na viumbe wake wote wakubwa na wadogo hasa chawa na kunguni. Amina.
Hata hivyo tumekuelewa maana ya uwakilishi wako, wanao ahirisha kufikiri kizalendo, (jizima data), hawawezi kukuelewa