Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Mtaje huyo rais wenu unayetàka mumuite Mungu, sisi TFF tumekataa rais wetu Wàles Karia kuitwa Mungu.Katika kuonyesha imani, mapenzi, utii, kumkubali, kumtakia mema yote makubwa na madogo, kumhusudu, kumsifia na kumtukuza, napendekeza rahis wetu mtukufu mwenye maono, mpendwa na mpendeka, akapendeza, mwenye akili na busara nyingi, uwezo, utakatifu, ukuu, utukufu, vyote visivyo vya wa kawaida kutokana na mema na makubwa mengi aliyofanya au tuseme miujiza, aitwe Mungu yaishe ili afurahi, tufurahi, kuridhika sisi na viumbe wake wote wakubwa na wadogo hasa chawa na kunguni. Amina.
Basi tumuite tu Father of AllKatika kuonyesha imani, mapenzi, utii, kumkubali, kumtakia mema yote makubwa na madogo, kumhusudu, kumsifia na kumtukuza, napendekeza rahis wetu mtukufu mwenye maono, mpendwa na mpendeka, akapendeza, mwenye akili na busara nyingi, uwezo, utakatifu, ukuu, utukufu, vyote visivyo vya wa kawaida kutokana na mema na makubwa mengi aliyofanya au tuseme miujiza, aitwe Mungu yaishe ili afurahi, tufurahi, kuridhika sisi na viumbe wake wote wakubwa na wadogo hasa chawa na kunguni. Amina.
Na shetani atakuwa nani??
Ukiona hivyo, ujue. Imekuingia barabara mwanangu. Ni suala la kuwa na akili tekenyeshi na tunduizi ndilo limenisukuma kuwaza hivyo na pia tokana na misifa anayomwagiwa.Muandiko tu linaonesha jinsi jamaa lilivyo jinga jinga mbumbumbu
Ukiona hivyo, ujue. Imekuingia barabara mwanangu. Ni suala la kuwa na akili tekenyeshi na tunduizi ndilo limenisukuma kuwaza hivyo na pia tokana na misifa anayomwagiwa.Nyoooooo