Napendekeza rasmi jina la ufupisho la mama liwe SASHA

Tuletee kwanza pendekezo la Jokate
 
Mkuu Umechukua Wazo Langu, mm Ndio Mtu Wa Kwanza Kumpa Samia aka Ya Jina La SASHA
 
Inaonekana unaamini sana katika majina kumcontrol mtu.

Nipende kukupa maneno ambayo ndugu Obama aliyasema katika moja ya hotuba zake kali sana.

Alisema ya kuwa "your name is not a barrier to success"
Daaah...naikumbka sana hii
 
Imepita hiyooo!! Imeisha hiyooo 🙌👏💪
 
Majina watatoa Wajumbe wa Halmashauri kuu kule Bungeni
 
Mama Samia au Madam Prwsident inatutosha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…