Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu.

kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui.

Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza akueleze chochote kuhusu ‘Trigonometric ratios’ , ana baki anatoa macho tu.., hamna kitu., unamuuliza akueleze kanuni ya kutafuta ‘Surface Area’ ya Cylinder , anabaki kucheka cheka tu.

Sasa basi, napendekeza serikali iandae vipindi vya masomo mbali mbali ambapo vitarekodiwa kwenye video, pia video ziambatane na ‘Illustrative video animations’ ; ambapo mashuleni watakuwa wanapelekewa ‘Flash disk’ yenye vipindi vya masomo yote vya mwaka mzima, na viwe kwa kiswahili kama vile ambavyo wamekuwa wakifundishwa.

Ikifika mida wa kipindi husika, kiranja wa darasa anaweka flash, anachagua somo husika la kipindi husika kwa siku husika, na hapo wataanza kusikiliza somo , na wakimaliza wataweka slides na kuchukua notes hapo hapo na kukopy exercise za kufanya. Wakimaliza wanakusanya, mwalimu yeye kazi yake kusahihisha tu! Itumike Projector na tablet moja tu inatosha.

Hawa waliopo wanatosha sana kwa kuchukua attendance na kuchapa wale wasiofika shuleni, maana ndio wanachojua, lakini kitaaluma wapo empty, nina ndugu namjua personally, hadi nasemaga, hivi serikali ndio inamlipa huyu mshahara, hajui kitu kabisa!

Projector na Tablet havizidi laki 5, hapo na solar panel unapata, ila mwalimu unamlipa mamilioni kwa mwaka wakati anaingia darasani mara moja kwa mwezi.

Najua nimeeleeweka.
Mawazo yako ni mazuri ila HAYAFAI KABISA KWA NGAZI YA SHULE ZA MSINGI
Kwanza ujue wanafunzi wa Shule za Msingi, wengi wao wanahitaji usimamizi wa hali ya juu katika kutekeleza majukumu yao ya msingi ikiwepo Kusoma, kusikiliza mafunzo, Usafi, Kusahihishwa nk
Najua kuna upungufu mkubwa kabisa wa waalimu wa Hesabu pengine tunaongoza Duniani kwani waalimu wenye Alama D ya hesabu Kidato cha nne wanaweza kuwa chini ya 9% ya waalimu wote; Halafu tunategemea Miujiza kutoka kwa Mungu ili wanafunzi wafaulu
 
Wazo zuri ila
Kumbuka kunashule nyingi sana hasa hizo za msingi hazina umeme. Nyingine n za nyasi. Hazima viti sasa unazungumzia hiyo yechnolojia.
Hiyo itakuwa baadhi ya shule tu
 
Nimezungumzia solar power kwenye uzi, soma vizuri
 
Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu.

kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui.

Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza akueleze chochote kuhusu ‘Trigonometric ratios’ , ana baki anatoa macho tu.., hamna kitu., unamuuliza akueleze kanuni ya kutafuta ‘Surface Area’ ya Cylinder , anabaki kucheka cheka tu.

Sasa basi, napendekeza serikali iandae vipindi vya masomo mbali mbali ambapo vitarekodiwa kwenye video, pia video ziambatane na ‘Illustrative video animations’ ; ambapo mashuleni watakuwa wanapelekewa ‘Flash disk’ yenye vipindi vya masomo yote vya mwaka mzima, na viwe kwa kiswahili kama vile ambavyo wamekuwa wakifundishwa.

Ikifika mida wa kipindi husika, kiranja wa darasa anaweka flash, anachagua somo husika la kipindi husika kwa siku husika, na hapo wataanza kusikiliza somo , na wakimaliza wataweka slides na kuchukua notes hapo hapo na kukopy exercise za kufanya. Wakimaliza wanakusanya, mwalimu yeye kazi yake kusahihisha tu! Itumike Projector na tablet moja tu inatosha.

Hawa waliopo wanatosha sana kwa kuchukua attendance na kuchapa wale wasiofika shuleni, maana ndio wanachojua, lakini kitaaluma wapo empty, nina ndugu namjua personally, hadi nasemaga, hivi serikali ndio inamlipa huyu mshahara, hajui kitu kabisa!

Projector na Tablet havizidi laki 5, hapo na solar panel unapata, ila mwalimu unamlipa mamilioni kwa mwaka wakati anaingia darasani mara moja kwa mwezi.

Najua nimeeleeweka.
we aliyekufundisha nani? wazazi wako? we kweli ni nyumbu ulikuwa unashikwa mkono uweze kuandika hata "a" leo unasema ni empty? Basi hata mamako ni empty we poyoyo usiye na shukrani
 
Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu.

kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui.

Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza akueleze chochote kuhusu ‘Trigonometric ratios’ , ana baki anatoa macho tu.., hamna kitu., unamuuliza akueleze kanuni ya kutafuta ‘Surface Area’ ya Cylinder , anabaki kucheka cheka tu.

Sasa basi, napendekeza serikali iandae vipindi vya masomo mbali mbali ambapo vitarekodiwa kwenye video, pia video ziambatane na ‘Illustrative video animations’ ; ambapo mashuleni watakuwa wanapelekewa ‘Flash disk’ yenye vipindi vya masomo yote vya mwaka mzima, na viwe kwa kiswahili kama vile ambavyo wamekuwa wakifundishwa.

Ikifika mida wa kipindi husika, kiranja wa darasa anaweka flash, anachagua somo husika la kipindi husika kwa siku husika, na hapo wataanza kusikiliza somo , na wakimaliza wataweka slides na kuchukua notes hapo hapo na kukopy exercise za kufanya. Wakimaliza wanakusanya, mwalimu yeye kazi yake kusahihisha tu! Itumike Projector na tablet moja tu inatosha.

Hawa waliopo wanatosha sana kwa kuchukua attendance na kuchapa wale wasiofika shuleni, maana ndio wanachojua, lakini kitaaluma wapo empty, nina ndugu namjua personally, hadi nasemaga, hivi serikali ndio inamlipa huyu mshahara, hajui kitu kabisa!

Projector na Tablet havizidi laki 5, hapo na solar panel unapata, ila mwalimu unamlipa mamilioni kwa mwaka wakati anaingia darasani mara moja kwa mwezi.

Najua nimeeleeweka.
Wewe ndo hamna kabisa kwenye hilo bichwa lako,kuwaliko hao walimu,ni lini mwalimu wa shule ya msingi akajua trigonometric ratio!?,ni topiki ya ngapi kwanza,

Ujuaji wa kipuuzi huu!
 
kwa nn ajue vitu visivyo mhusu, yeye mwisho wake ajue circumference of the circle bas hayo mengine wawachie wa sekondari, 𝐥𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐡𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐡𝐢𝐨 𝐭𝐫𝐢𝐠𝐨𝐧𝐨𝐦𝐞𝐭𝐫𝐢𝐜 𝐚𝐧𝐚𝐲𝐨𝐢𝐣𝐮𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐦𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚 𝐧𝐧 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚?
 
Wazo lako liwe ni njia nyongeza ya ufundishaji. Ni dhahiri kuna waalimu hawawezi kueleza masuala, hivyo pengine kukiwa na mtaalamu anayefundisha vizuri kupitia filamu ni nzuri. Waalimu wawepo pia waeleze wanavyojua wao pia na kujibu maswali.
 
Wewe ndo hamna kabisa kwenye hilo bichwa lako,kuwaliko hao walimu,ni lini mwalimu wa shule ya msingi akajua trigonometric ratio!?,ni topiki ya ngapi kwanza,

Ujuaji wa kipuuzi huu!
Mwalimu wa shule ya msingi anatakiwa awe na elimu gani kwanza, la saba sio?
 
Serikali isiyojali elimu ya watu wake ndio ya kufanya hivyo kweli
 
kwa nn ajue vitu visivyo mhusu, yeye mwisho wake ajue circumference of the circle bas hayo mengine wawachie wa sekondari, 𝐥𝐢𝐜𝐡𝐚 𝐡𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐡𝐢𝐨 𝐭𝐫𝐢𝐠𝐨𝐧𝐨𝐦𝐞𝐭𝐫𝐢𝐜 𝐚𝐧𝐚𝐲𝐨𝐢𝐣𝐮𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐦𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚 𝐧𝐧 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚?
Well, kwakuwa umeuliza itabidi nikujibu, Trigonometric ratios zinanisaidia kudesign vipimo vya urefu wa paa wakati nadesign nyumba ambapo nakua nimeshachagua aina ya paa na vigezo vyake vya mlalo, mfano nyuzi 28 za mlalo.. (28 degrees). Sasa mwalimu wa hesabu asijue vipi Trigometry ndugu yangu, ona aibu
 
Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu.

kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui.

Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza akueleze chochote kuhusu ‘Trigonometric ratios’ , ana baki anatoa macho tu.., hamna kitu., unamuuliza akueleze kanuni ya kutafuta ‘Surface Area’ ya Cylinder , anabaki kucheka cheka tu.

Sasa basi, napendekeza serikali iandae vipindi vya masomo mbali mbali ambapo vitarekodiwa kwenye video, pia video ziambatane na ‘Illustrative video animations’ ; ambapo mashuleni watakuwa wanapelekewa ‘Flash disk’ yenye vipindi vya masomo yote vya mwaka mzima, na viwe kwa kiswahili kama vile ambavyo wamekuwa wakifundishwa.

Ikifika mida wa kipindi husika, kiranja wa darasa anaweka flash, anachagua somo husika la kipindi husika kwa siku husika, na hapo wataanza kusikiliza somo , na wakimaliza wataweka slides na kuchukua notes hapo hapo na kukopy exercise za kufanya. Wakimaliza wanakusanya, mwalimu yeye kazi yake kusahihisha tu! Itumike Projector na tablet moja tu inatosha.

Hawa waliopo wanatosha sana kwa kuchukua attendance na kuchapa wale wasiofika shuleni, maana ndio wanachojua, lakini kitaaluma wapo empty, nina ndugu namjua personally, hadi nasemaga, hivi serikali ndio inamlipa huyu mshahara, hajui kitu kabisa!

Projector na Tablet havizidi laki 5, hapo na solar panel unapata, ila mwalimu unamlipa mamilioni kwa mwaka wakati anaingia darasani mara moja kwa mwezi.

Najua nimeeleeweka.
Sasa mkuu unajua hawa walimu pia wanalipa kodi, wanatumia huduma mbalimbali za kijamii hivyo inapelekea kuongeza mzunguko pesa nchini..

So ukiandika kitu angalia na athari za kiuchumi zitakazotokea kama serikali itafanya kama ulivyopendekeza...

Alafu kama pendekezo likafanikiwa hizo pesa ambazo ilibid walipwe walimu kama mishahara zinawez kupigwa tu na viongozi ambao sio waadilifu.
 
Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu.

kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui.

Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza akueleze chochote kuhusu ‘Trigonometric ratios’ , ana baki anatoa macho tu.., hamna kitu., unamuuliza akueleze kanuni ya kutafuta ‘Surface Area’ ya Cylinder , anabaki kucheka cheka tu.

Sasa basi, napendekeza serikali iandae vipindi vya masomo mbali mbali ambapo vitarekodiwa kwenye video, pia video ziambatane na ‘Illustrative video animations’ ; ambapo mashuleni watakuwa wanapelekewa ‘Flash disk’ yenye vipindi vya masomo yote vya mwaka mzima, na viwe kwa kiswahili kama vile ambavyo wamekuwa wakifundishwa.

Ikifika mida wa kipindi husika, kiranja wa darasa anaweka flash, anachagua somo husika la kipindi husika kwa siku husika, na hapo wataanza kusikiliza somo , na wakimaliza wataweka slides na kuchukua notes hapo hapo na kukopy exercise za kufanya. Wakimaliza wanakusanya, mwalimu yeye kazi yake kusahihisha tu! Itumike Projector na tablet moja tu inatosha.

Hawa waliopo wanatosha sana kwa kuchukua attendance na kuchapa wale wasiofika shuleni, maana ndio wanachojua, lakini kitaaluma wapo empty, nina ndugu namjua personally, hadi nasemaga, hivi serikali ndio inamlipa huyu mshahara, hajui kitu kabisa!

Projector na Tablet havizidi laki 5, hapo na solar panel unapata, ila mwalimu unamlipa mamilioni kwa mwaka wakati anaingia darasani mara moja kwa mwezi.

Najua nimeeleeweka.
Nina wasi wasi kama una akili timamu.
Projector zifungwe madarasa yote ya shule ya msingi?
Unaishi America!kiasi kwamba huzijui shule zetu?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mwanafunzi afundishwe na computer? Nidhamu utulivu heshima nani atafanya assailment
 
Well, kwakuwa umeuliza itabidi nikujibu, Trigonometric ratios zinanisaidia kudesign vipimo vya urefu wa paa wakati nadesign nyumba ambapo nakua nimeshachagua aina ya paa na vigezo vyake vya mlalo, mfano nyuzi 28 za mlalo.. (28 degrees). Sasa mwalimu wa hesabu asijue vipi Trigometry ndugu yangu, ona aibu
kuna watu wameishia la saba hawajui hiyo kitu lakini wanafanya wonders kuliko hao wenye trig
 
Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu.

kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui.

Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza akueleze chochote kuhusu ‘Trigonometric ratios’ , ana baki anatoa macho tu.., hamna kitu., unamuuliza akueleze kanuni ya kutafuta ‘Surface Area’ ya Cylinder , anabaki kucheka cheka tu.

Sasa basi, napendekeza serikali iandae vipindi vya masomo mbali mbali ambapo vitarekodiwa kwenye video, pia video ziambatane na ‘Illustrative video animations’ ; ambapo mashuleni watakuwa wanapelekewa ‘Flash disk’ yenye vipindi vya masomo yote vya mwaka mzima, na viwe kwa kiswahili kama vile ambavyo wamekuwa wakifundishwa.

Ikifika mida wa kipindi husika, kiranja wa darasa anaweka flash, anachagua somo husika la kipindi husika kwa siku husika, na hapo wataanza kusikiliza somo , na wakimaliza wataweka slides na kuchukua notes hapo hapo na kukopy exercise za kufanya. Wakimaliza wanakusanya, mwalimu yeye kazi yake kusahihisha tu! Itumike Projector na tablet moja tu inatosha.

Hawa waliopo wanatosha sana kwa kuchukua attendance na kuchapa wale wasiofika shuleni, maana ndio wanachojua, lakini kitaaluma wapo empty, nina ndugu namjua personally, hadi nasemaga, hivi serikali ndio inamlipa huyu mshahara, hajui kitu kabisa!

Projector na Tablet havizidi laki 5, hapo na solar panel unapata, ila mwalimu unamlipa mamilioni kwa mwaka wakati anaingia darasani mara moja kwa mwezi.

Najua nimeeleeweka.
Zero brain is speaking
 
We utakuwa ni mjinga sana, na kuna uwezekano umevuka level ya ujinga
 
Back
Top Bottom