Napendekeza serikali ifunge projector madarasa yote shule za msingi badala ya kuajiri walimu, hii itasaidia kuokoa takriban trillion 3 Kwa mwaka

Mkuu uliupiga mwingi, wazo zuri, wanahitaji internet yenye kasi.

Kwa technology hii, starlink ingeruhusiwa, hata vijijini ndani kabisa wangetumia hizi smart boards na wanafunzi wangejifunza vizuri.

Walimu wengi ni vilaza, sio kidogo sana.
 
 
Mkuu uliupiga mwingi, wazo zuri, wanahitaji internet yenye kasi.

Kwa technology hii, starlink ingeruhusiwa, hata vijijini ndani kabisa wangetumia hizi smart boards na wanafunzi wangejifunza vizuri.

Walimu wengi ni vilaza, sio kidogo sana.
Ngoja tuone haya majaribio yataleta majibu gani
 
Wajinga wenzako watakusifia Kwa ujinga wako

Ikiwa vyuoni Kuna projector na mfumo huo hauwezekani itakuwa mashuleni?

Ikiwa umeme Dsm ni changamoto itakuwa huko mikoani tena ndani ndani? Au projector zitakuwa Zinatumia mikojo yako kurun?

Halafu nani kakwambia mwanafunzi wa primary anaweza akasoma Kwa mfumo huo?


Mnunulie mwanao asome kupitia tutorial za you tube kama unadhani ni rahisi
 
Ndio maendeleo mkuu, maendeleo ya kiteknolojia, watawekewa hata solar.
 
Unafahamu nini kuhusu ‘Solar power’?
 
Sio haiwezekani ni mpaka hapo siasa zitajitegemea na mambo ya msingi yakajiendesha kwa weledi na mifumo mizuri nje ya siasa.
 
Naongeza jambo.
Zile rim wanazopelekagga shule ziwe zinatumika kuchapisha notes kupunguza mzigi kwa wanfunzi na walimu kuandikaa, kuchafuka na ,na kichapana chapana na kukosa muda sababu ya notes .
Chapisha topic , gawa Kwa wanfunzi, fundisha .
Watunzaji , na wanafunzi makini ndio watakao okoka ,
Kama utapoteza , utawajibuka Kwa gharama kuzitafuta .
#Hizo chaki ,ubao, ni kuumizana tu macho.


Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni vichekesho
 

watanzania wanachukia na kuogopa technologia wanataka walimu vilaza waendelee kuwa jaza ujinga wanafunzi
 
We jweli kiazi,shule zinyewe watoto wanakaa chini na vyoo hakuna,
Itakuwa PROJECTOR kweli
 
Mjinga wewe
Kwahyo ndugu Yako akiwa hajui hesabu ina maanisha wote wanamfanana?
 
Tatizo la watu mliokuzwa na katuni huwa mnajikuta mnajuua kumbe mmejaza ujinga kichwani.

Binadamu sio mbwa,mwalimu ana kazi kubwa zaidi ya hiyo ya kufundisha trigonometry.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…