Napendekeza sherehe za kidini zisizofahamika tarehe zisiwe za kitaifa na Serikali isizitambue

Napendekeza sherehe za kidini zisizofahamika tarehe zisiwe za kitaifa na Serikali isizitambue

Kwahiyo wanaposema ni Jumamosi ni kwa kigezo kipi? Si inabidi wauone mwezi ndio watangaze siku flani au?
Dah mkuu utanimalizia nyama zangu tumboni bila sababu za msingi, ni hivi wao wametangaza jumamosi kwasababu wanakamilisha siku 30 hilo halihusiki na kuona mwezi tena.
 
Kwanini msiwe na kalenda? Mnatuvuruga Sana, mara Uganda na Kenya ni leo Ijumaa na nyie ni Jumamosi! Huu ni ubabaishaji!
Mkuu jambo la sikukuu katika uislamu ni tawqiifiyyah kwa maana halihusishi maamuzi wala khiari ya mtu ni kufuata muongozo kama ulivyokuja, asili ya hizi ibada ni kwa kutegemea mwandamo wa mwezi na hili linawork out tangu zama za mawe mpaka qiyamah tusipouona na tusipopata taarifa kutoka kwingine basi tunakamilisha 30, wala hakuna uzito wowote.
 
Mkuu acha wivu sikukuu za waislamu tangu mwanzo wake mpaka kusimama qiyamah zitategemea muandamo wa mwezi na hii ni kwa hekma kubwa, hakuna atakayeweza kubadilisha na hamjalazimishwa kuzifanya za kitaifa mkitaka lazimisheni watu kwenda makazini na watafanya ibada asubuhi kisha wataenda wala hakuna tabu.

Ila serikali ina watu makini hawafanyi maamuzi ya kukurupuka kama hayo.
Sasa c mngekuwa mnasubiri mpaka MWEZI uonekane.kwnn mnalazimisha KESHO iwe ckukuu hata kama haujaonekana MWEZI?
 
Bakwata huo mwezi wameuona wapi?
Quran inatambua mwezi kuwa na siku 29 au 30. Usipoandama 29, lazima uandame 30. Sasa Jana ilikuwa siku ya 29, haukuandama, kwa hiyo lazima uandame siku ya Leo ambayo ni siku ya 30, kukamilisha mwezi Ramadhani. Nadhani umenielewa
 
Mkuu japo umeandika kama unakimbizwa ila kuna sehemu umesema inaleta bughudha kwa wasio husika..

Swali: Unaanza je kupata bughudha kwa jambo usilohusika?

Lesson: Mind your business unless anything involves you directly - just stay out of it;
Disturbance kiukweli ipo, mie leo nimeamka saa kumi na moja mbio kazini....kati ya wateja elf 2 niliotarajia kuwaona nimewakuta hata 100 hawafiki imebidi kuahirisha ratiba saa tano tukarudi majumbani, ni usumbufu tungeambiwa kaeni nyumbani tu msikilizie
 
Sherehe yeyote ya kidini ambayo inatambulika kwamba ni sikukuu na serikali inaitambua basi inapaswa tarehe yake tuifahamu.

Hii itasaidia serikali kupanga ratiba zake ku-accomodate shughuli husika kwa siku husika. Hii uncertainity inasababisha bughudha kubwa sana hata kwa wasio husika, vipi na wahindi nao wakija na sherehe zao zisizo na tarehe maalum na kuanza kutupagawisha na uncertainities hivyo hovyo, itakuwaje?
Tunataabishana bila sababu, mpak mwez uonekane wakat mwezi wenyewe una mitikasi yake, watu inawezekana wanaabudu mwez bila kujua
 
Disturbance kiukweli ipo, mie leo nimeamka saa kumi na moja mbio kazini....kati ya wateja elf 2 niliotarajia kuwaona nimewakuta hata 100 hawafiki imebidi kuahirisha ratiba saa tano tukarudi majumbani, ni usumbufu tungeambiwa kaeni nyumbani tu msikilizie
Pole mkuu
 
Sasa c mngekuwa mnasubiri mpaka MWEZI uonekane.kwnn mnalazimisha KESHO iwe ckukuu hata kama haujaonekana MWEZI?
Na kweli hatufungi wala kufungua mpaka mwezi uonekane mkuu, mwezi umeonekana baadhi ya nchi ambazo sisi tunaziamini kwamba viongozi wake ni waaminifu basi wakitupa taarifa kuwa umeonekana huko sisi tunafungua pamoja nao.

Ama hali ya hewa hapa kwetu kwa sasa hairuhusu kutizama mwezi kutokana na mvua sehemu mbalimbali, so mwezi umeonekana mkuu ndio maana tumekula leo.
 
Ujinga mtupu mpaka kiyama mnategemea mwezi? Huyo Mungu wenu hajui siku wala muda mpaka ategemee mwezi?.

Si mseme tu Mungu wenu ni Alama ya mwezi yaan JINI la kike lililoabudiwa na waarabu&warumi wa kale.

Ktk imani za ushirikina Alama ya mwezi inahusiana na ibada ya ushetan wa hali ya juu haya mambo wanayajua mashekhe wenu, ni vile vifuasi vya level za chini hamjui na hamuwezi kuambiwa mnachokiabudu the same kwa wakristo wanaoabudu kwa kuweka alama za msalaba, ju, sanamu la yesu wa mchongo na kuabudu siku za jumamosi, jumapili, ninyi nyote mnaabudu mizimu ya wazungu.

Mtu kwa akili zako timamu unaanzaje kutegemea mienendo ya imani yako itegemee mkao/muonekano wa mwezi kama sio ushirikina.

Hizi dini za kuletewa zimewaharibu akili
Umepiga kwenye mshono
 
Tunataabishana bila sababu, mpak mwez uonekane wakat mwezi wenyewe una mitikasi yake, watu inawezekana wanaabudu mwez bila kujua
Mkuu hilo ndio limeshahukumiwa mwezi upo zama zote na miaka yote na waislamu wote watafuata muandamo wa mwezi, wasipouona mwezi kutokana na mawingu au changamoto nyingine basi wanakamilisha tu siku 30, mbona hakuna uzito?.

Ibada yetu haina teknolojia wala ushamba kwa miaka yote na zama zote waislamu watategemea mwezi na ndio bora zaidi kwao kuliko kila mtu kutegemea saa au kalenda yake.
 
Ujinga mtupu mpaka kiyama mnategemea mwezi? Huyo Mungu wenu hajui siku wala muda mpaka ategemee mwezi?.

Si mseme tu Mungu wenu ni Alama ya mwezi yaan JINI la kike lililoabudiwa na waarabu&warumi wa kale.

Ktk imani za ushirikina Alama ya mwezi inahusiana na ibada ya ushetan wa hali ya juu haya mambo wanayajua mashekhe wenu, ni vile vifuasi vya level za chini hamjui na hamuwezi kuambiwa mnachokiabudu the same kwa wakristo wanaoabudu kwa kuweka alama za msalaba, ju, sanamu la yesu wa mchongo na kuabudu siku za jumamosi, jumapili, ninyi nyote mnaabudu mizimu ya wazungu.

Mtu kwa akili zako timamu unaanzaje kutegemea mienendo ya imani yako itegemee mkao/muonekano wa mwezi kama sio ushirikina.

Hizi dini za kuletewa zimewaharibu akili
Mkuu relax mbona una hasira hivyo wakati sisi ndio wafungaji?.

Okay ni hivi mwezi ndio unatumika tangu wakati wa mtume muhammad mpaka sasa na mpaka qiyamah, na hili ni kwa hekma yake allah subhaanah, waislamu watatizama mwezi mchanga jioni ya tarehe 29 na wasipouona mwezi basi watakamilisha siku 30 na hapo ikiingia magharibi ya siku ya 31 ndio itakuwa tarehe 1 ya mwezi mpya na hakuna uzito kwenye hili.

Nikirudi kwenye alama na mambo ya jini wa kike uliyotaja hapo, nafikiri haujatuliza akili kidogo kabla ya kuzungumza hili jambo mkuu, uislamu hauna alama ya nyota na mwezi wala hakuna popote kwenye Qur'an wala hadithi za mtume ukakuta mwongozo wa kutumia alama ya nyota na mwezi, hayo ni mambo yamezuka tu miaka ya karibuni 100, 200 iliyopita na wala hayahusiani na uislamu kwa chochote wala hayafidishi chochote wala nyota na mwezi si mbadala wa msalaba kwa waislamu.

Nakusihi wakati mwingine ukijenga hoja fanya utafiti na ujiridhishe kabla ya kuandika kitu kwenye platform kubwa kama jamiiforums, leo na kesho wajukuu zako watakuja kusoma hapa utapata aibu.

Karibu pilau mkuu mchana tayari.
 
Kwahiyo wanaposema ni Jumamosi ni kwa kigezo kipi? Si inabidi wauone mwezi ndio watangaze siku flani au?
Siku za kufunga ni kati ya siku 29 na 30.
Kwahiyo ikifika siku ya 29 tunaangalia mwezi kama umeandama ikiwa umeandama basi siku inayofuata ni sikukuu na kama haujaandama siku ya 29 basi tunamalizia siku ya 30 baada ya hapo hatuangaiki kutizama mwezi kama umeandama au haujaandama kwani tunakuwa tumemaliza siku tulizohitajika kufunga na siku hiyo kwa vyovyote vile mwezi utaandama na utaonekana wazi wazi kwani haijawahi kutokea tangu dunia hii iumbwe mwezi unaofuatwa na waislam ukazidi siku 30 na miaka yote serikali imekuwa ikielewa na ndio maana hata kwenye kalenda zao wanazipanga kwa mtindo wa siku mbili kwamba kukamilika kwa funga ni kati ya siku 29 au 30.
Ni wewe na wajinga wenzako wachache tu ndio mnashindwa kuelewa na kuanza kuleta hoja za kipumbavu eti serikali ifute sikukuu kama za Eid,wewe nani hadi uwapangie wengine! Au unajiona nchi hii ni yako na familia yako tu.
Nguruwe pori mkubwa.
 
Mkuu acha wivu sikukuu za waislamu tangu mwanzo wake mpaka kusimama qiyamah zitategemea muandamo wa mwezi na hii ni kwa hekma kubwa, hakuna atakayeweza kubadilisha na hamjalazimishwa kuzifanya za kitaifa mkitaka lazimisheni watu kwenda makazini na watafanya ibada asubuhi kisha wataenda wala hakuna tabu.

Ila serikali ina watu makini hawafanyi maamuzi ya kukurupuka kama hayo.
U nailed it!!!
 
Mkuu japo umeandika kama unakimbizwa ila kuna sehemu umesema inaleta bughudha kwa wasio husika..

Swali: Unaanza je kupata bughudha kwa jambo usilohusika?

Lesson: Mind your business unless anything involves you directly - just stay out of it;
Naunga mkono hoja 🤝%💯 👏👏👏
 
Back
Top Bottom