Napendekeza sherehe za kidini zisizofahamika tarehe zisiwe za kitaifa na Serikali isizitambue

sikuku ya waislamu duniani kote zinapangwa ma mungu azipamgwi na serikali kafiri mkubwa wewe
 
Akili kubwaz
Mkuu japo umeandika kama unakimbizwa ila kuna sehemu umesema inaleta bughudha kwa wasio husika..

Swali: Unaanza je kupata bughudha kwa jambo usilohusika?

Lesson: Mind your business unless anything involves you directly - just stay out of it;
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza, dini imeeleza mkifunga siku 30 hakuna kuangalia mwezi tena
Sasa kama inawezekana kufanya sherehe bila kuona mwezi, ni kwanini msipeleke tarehe maalum serikalini ili iingizwe kwenye kalenda na kuondoa hii vurugu mnayoisababisha? Mnavuruga nchi
 
sikuku ya waislamu duniani kote zinapangwa ma mungu azipamgwi na serikali kafiri mkubwa wewe
Mwezi hauwezi kuwa Mungu, na binadamu mwenye akili timamu hawezi kuabudu Mwezi hata siku moja, huu ni ushirikina mnafanya, yaani Mungu afanye ushirika na mwezi?!
 
Sasa kama inawezekana kufanya sherehe bila kuona mwezi, ni kwanini msipeleke tarehe maalum serikalini ili iingizwe kwenye kalenda na kuondoa hii vurugu mnayoisababisha? Mnavuruga nchi
We mbona chizi? Muongozo wetu ni Qur an, na qur an ndio imeagiza hivyo, uislam sio sawa na dini nyingine zinazobadilika kutokana na matakwa ya binadamu, kama hujanielewa na hapa basi
 
Sasa huo muongozo wenu si ndio umesema mnaweza kufungulia bila kuona mwezi , kwani mimi ndio nimesema?

Halafu, kwanini mnaabudu mwezi? Yaani Mungu afanye shirki na mwezi kweli? Huo mnaofanya kwanini usiitwe ushirikina?
 
Hauitwi ushirikina kwakuwa Allah mwenyewe ndio kaagiza tufanye hivyo, na hakuna tunachokiomba kutoka kwa mwezi kila kitu tunamuomba Allah
 
Allah hawezi kuupa mwezi ushirika katika UMungu wake, kwa sababu hana mshirika, awe mtu, awe jini, au shetani au yeyote, mwezi haiwezi kupewa jukumu la kuchagua chochote kwa niaba ya Mungu, huo ni ushirikina. Haina tofauti na waAztec, ila wao walikuwa wanaabudu jua, hata wao wanasema waliambiwa na mungu kuliabudu jua, kama nyinyi mnavyosema hapa, nakuwekea hadithi yao hapa.

Back
Top Bottom