Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Dah mkuu utanimalizia nyama zangu tumboni bila sababu za msingi, ni hivi wao wametangaza jumamosi kwasababu wanakamilisha siku 30 hilo halihusiki na kuona mwezi tena.Kwahiyo wanaposema ni Jumamosi ni kwa kigezo kipi? Si inabidi wauone mwezi ndio watangaze siku flani au?
Mkuu jambo la sikukuu katika uislamu ni tawqiifiyyah kwa maana halihusishi maamuzi wala khiari ya mtu ni kufuata muongozo kama ulivyokuja, asili ya hizi ibada ni kwa kutegemea mwandamo wa mwezi na hili linawork out tangu zama za mawe mpaka qiyamah tusipouona na tusipopata taarifa kutoka kwingine basi tunakamilisha 30, wala hakuna uzito wowote.Kwanini msiwe na kalenda? Mnatuvuruga Sana, mara Uganda na Kenya ni leo Ijumaa na nyie ni Jumamosi! Huu ni ubabaishaji!
Sasa c mngekuwa mnasubiri mpaka MWEZI uonekane.kwnn mnalazimisha KESHO iwe ckukuu hata kama haujaonekana MWEZI?Mkuu acha wivu sikukuu za waislamu tangu mwanzo wake mpaka kusimama qiyamah zitategemea muandamo wa mwezi na hii ni kwa hekma kubwa, hakuna atakayeweza kubadilisha na hamjalazimishwa kuzifanya za kitaifa mkitaka lazimisheni watu kwenda makazini na watafanya ibada asubuhi kisha wataenda wala hakuna tabu.
Ila serikali ina watu makini hawafanyi maamuzi ya kukurupuka kama hayo.
Quran inatambua mwezi kuwa na siku 29 au 30. Usipoandama 29, lazima uandame 30. Sasa Jana ilikuwa siku ya 29, haukuandama, kwa hiyo lazima uandame siku ya Leo ambayo ni siku ya 30, kukamilisha mwezi Ramadhani. Nadhani umenielewaBakwata huo mwezi wameuona wapi?
Disturbance kiukweli ipo, mie leo nimeamka saa kumi na moja mbio kazini....kati ya wateja elf 2 niliotarajia kuwaona nimewakuta hata 100 hawafiki imebidi kuahirisha ratiba saa tano tukarudi majumbani, ni usumbufu tungeambiwa kaeni nyumbani tu msikilizieMkuu japo umeandika kama unakimbizwa ila kuna sehemu umesema inaleta bughudha kwa wasio husika..
Swali: Unaanza je kupata bughudha kwa jambo usilohusika?
Lesson: Mind your business unless anything involves you directly - just stay out of it;
Tunataabishana bila sababu, mpak mwez uonekane wakat mwezi wenyewe una mitikasi yake, watu inawezekana wanaabudu mwez bila kujuaSherehe yeyote ya kidini ambayo inatambulika kwamba ni sikukuu na serikali inaitambua basi inapaswa tarehe yake tuifahamu.
Hii itasaidia serikali kupanga ratiba zake ku-accomodate shughuli husika kwa siku husika. Hii uncertainity inasababisha bughudha kubwa sana hata kwa wasio husika, vipi na wahindi nao wakija na sherehe zao zisizo na tarehe maalum na kuanza kutupagawisha na uncertainities hivyo hovyo, itakuwaje?
Pole mkuuDisturbance kiukweli ipo, mie leo nimeamka saa kumi na moja mbio kazini....kati ya wateja elf 2 niliotarajia kuwaona nimewakuta hata 100 hawafiki imebidi kuahirisha ratiba saa tano tukarudi majumbani, ni usumbufu tungeambiwa kaeni nyumbani tu msikilizie
Na kweli hatufungi wala kufungua mpaka mwezi uonekane mkuu, mwezi umeonekana baadhi ya nchi ambazo sisi tunaziamini kwamba viongozi wake ni waaminifu basi wakitupa taarifa kuwa umeonekana huko sisi tunafungua pamoja nao.Sasa c mngekuwa mnasubiri mpaka MWEZI uonekane.kwnn mnalazimisha KESHO iwe ckukuu hata kama haujaonekana MWEZI?
Umepiga kwenye mshonoUjinga mtupu mpaka kiyama mnategemea mwezi? Huyo Mungu wenu hajui siku wala muda mpaka ategemee mwezi?.
Si mseme tu Mungu wenu ni Alama ya mwezi yaan JINI la kike lililoabudiwa na waarabu&warumi wa kale.
Ktk imani za ushirikina Alama ya mwezi inahusiana na ibada ya ushetan wa hali ya juu haya mambo wanayajua mashekhe wenu, ni vile vifuasi vya level za chini hamjui na hamuwezi kuambiwa mnachokiabudu the same kwa wakristo wanaoabudu kwa kuweka alama za msalaba, ju, sanamu la yesu wa mchongo na kuabudu siku za jumamosi, jumapili, ninyi nyote mnaabudu mizimu ya wazungu.
Mtu kwa akili zako timamu unaanzaje kutegemea mienendo ya imani yako itegemee mkao/muonekano wa mwezi kama sio ushirikina.
Hizi dini za kuletewa zimewaharibu akili
Mkuu hilo ndio limeshahukumiwa mwezi upo zama zote na miaka yote na waislamu wote watafuata muandamo wa mwezi, wasipouona mwezi kutokana na mawingu au changamoto nyingine basi wanakamilisha tu siku 30, mbona hakuna uzito?.Tunataabishana bila sababu, mpak mwez uonekane wakat mwezi wenyewe una mitikasi yake, watu inawezekana wanaabudu mwez bila kujua
Mkuu relax mbona una hasira hivyo wakati sisi ndio wafungaji?.Ujinga mtupu mpaka kiyama mnategemea mwezi? Huyo Mungu wenu hajui siku wala muda mpaka ategemee mwezi?.
Si mseme tu Mungu wenu ni Alama ya mwezi yaan JINI la kike lililoabudiwa na waarabu&warumi wa kale.
Ktk imani za ushirikina Alama ya mwezi inahusiana na ibada ya ushetan wa hali ya juu haya mambo wanayajua mashekhe wenu, ni vile vifuasi vya level za chini hamjui na hamuwezi kuambiwa mnachokiabudu the same kwa wakristo wanaoabudu kwa kuweka alama za msalaba, ju, sanamu la yesu wa mchongo na kuabudu siku za jumamosi, jumapili, ninyi nyote mnaabudu mizimu ya wazungu.
Mtu kwa akili zako timamu unaanzaje kutegemea mienendo ya imani yako itegemee mkao/muonekano wa mwezi kama sio ushirikina.
Hizi dini za kuletewa zimewaharibu akili
Siku za kufunga ni kati ya siku 29 na 30.Kwahiyo wanaposema ni Jumamosi ni kwa kigezo kipi? Si inabidi wauone mwezi ndio watangaze siku flani au?
U nailed it!!!Mkuu acha wivu sikukuu za waislamu tangu mwanzo wake mpaka kusimama qiyamah zitategemea muandamo wa mwezi na hii ni kwa hekma kubwa, hakuna atakayeweza kubadilisha na hamjalazimishwa kuzifanya za kitaifa mkitaka lazimisheni watu kwenda makazini na watafanya ibada asubuhi kisha wataenda wala hakuna tabu.
Ila serikali ina watu makini hawafanyi maamuzi ya kukurupuka kama hayo.
Naunga mkono hoja π€%π― πππMkuu japo umeandika kama unakimbizwa ila kuna sehemu umesema inaleta bughudha kwa wasio husika..
Swali: Unaanza je kupata bughudha kwa jambo usilohusika?
Lesson: Mind your business unless anything involves you directly - just stay out of it;
π€πΏU nailed it!!!
Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza, dini imeeleza mkifunga siku 30 hakuna kuangalia mwezi tenaNi sawa, ila mmejuaje kwamba ni Jumamosi? Mmeuona wapi mwezi?