FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Yaani badala ya kununua milingoti ya chuma na wire kwa ajili ya kufunga zile taa za mwanga barabarani, napendekeza taa ziwe zinafungwa kwenye mistimu ya umeme iliyopo kando kando ya barabara na ziungwe kwenye umeme moja kwa moja, hii itakoa fedha nyingi mno.
Pia badala ya kusimika mistimu ya nyaya za simu napendekeza hizo nyaya za simu zifunge tu kwenye mistimu ya umeme ambayo ipo tayari hivyo kuokoa gharama kubwa sana katika usambazaji wa mawasiliano.
Mamlaka husika ziwasiliane na Tanesco ambao ndio wamiliki wa nguzo hizo ili kuona utekelezaji wake.
==================================
Update: 08/09/2021
Hatimaye, Nyaya za mawasialiano ya simu za mkongo (Fiber network) kufungwa kwenye nguzo za umeme
www.jamiiforums.com
==================================
Update: 12/09/2021
www.jamiiforums.com
===========================
Update: 15/06/2022
www.jamiiforums.com
==========================
View: https://www.instagram.com/p/C91u30piZpR/?igsh=MTRwZ2ZveGpuZDF3bw==
Pia badala ya kusimika mistimu ya nyaya za simu napendekeza hizo nyaya za simu zifunge tu kwenye mistimu ya umeme ambayo ipo tayari hivyo kuokoa gharama kubwa sana katika usambazaji wa mawasiliano.
Mamlaka husika ziwasiliane na Tanesco ambao ndio wamiliki wa nguzo hizo ili kuona utekelezaji wake.
==================================
Update: 08/09/2021
Hatimaye, Nyaya za mawasialiano ya simu za mkongo (Fiber network) kufungwa kwenye nguzo za umeme
Zaidi ya bilioni 200 kutumika kutandaza mkongo wa Taifa wa mawasiliano wenye urefu wa 4244km kwa kutumia miundombinu ya TANESCO
ZAIDI YA BILIONI 200 KUTUMIKA KUTANDAZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WENYE UREFU WA 4244KM KWA KUTUMIA MIUNDOMBINU YA TANESCO "Tunamshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha zaidi ya bilioni 200 kwa lengo la kutandaza Mkongo wa taifa wenye urefu wa 4244Km kwa kushirikiana...
==================================
Update: 12/09/2021
Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa
Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa...
===========================
Update: 15/06/2022
Tetesi: - TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi
.
==========================
View: https://www.instagram.com/p/C91u30piZpR/?igsh=MTRwZ2ZveGpuZDF3bw==