Nishafanyaga hii biashara route ya mwananyamala -posta wakati ulee....Wala hahitaji mshahara
Ila ukiangalia malori tairi zimeisha kabisa na zikiuwa wanakuambia break zimefeli kumbe kaachiwa kwa buku
Halafu hawana aibu kabisaNishafanyaga hii biashara route ya mwananyamala -posta wakati ulee....
Pasua sana kia siku mnavutana na traffic kwenda polisi gari ilikuwa kama sebuleni
Pressure pressure tu nkaona shida ya nini
Ova
Ila ukweli hao matrafic wanatumwa na wakubwa zaoHalafu hawana aibu kabisa
Pole aisee
Kwa hiyo hata akiambiwa leta mke anapeleka kisa aendelee kuwa barabarani au sio 😄 🤣Ila ukweli hao matrafic wanatumwa na wakubwa zao
Usipop3leka hela wanakutoa Road
Unaweza pewa kitengo kwenda kulinda benki 😄
Ova
😄Kwa hiyo hata akiambiwa leta mke anapeleka kisa aendelee kuwa barabarani au sio 😄 🤣
Vijirushwa vya kijinga vya buku mbili ndiyo TAKUKURU wakomae nazo?Waanze na mikataba ya kipuuzi inayoumiza nchi.Kila mtu ahakikishe amebrashi viatu vyake hata kama ni vya plastiki.Nina pendekeza kama kweli TAKUKURU wako pale kumdhibiti na kupambana na rushwa basi wajifanye kama Kondakta wa daladala hasa za hapa Dar Es Salaam ili wakamate Traffic ambao wanaomba rushwa.
Kama hilo haliwezekani basi nashauri hiki kitengo aidha kifutwe au kibadilishiwe majukumu. Maana inafikirisha sana kwamba kila Raia anaona jinsi rushwa inavyoliwa kwa wazi kabisa na hawa askari wa usalama barabarani lakini TAKUKURU hawaioni.
Au hadi wapewe agizo na kutumwa!? Kwani Sheria haiwaruhusu kujifanyia kazi kwa namna yao hadi waagizwe na mamlaka zingine?
Soma Pia: Je, nini kifanyike ili kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika Mapambano dhidi ya Rushwa?
Huku majuu kwanza kusimamishwa tu ni mpaka uwe labda taa haziwaki na hilo unaambiwa tu😄
Unajuwa,ukitaka kudeal na rushwa Anna juu huku chini
Watakaa sawa wenyewe
Sasa wa juu wanakula hawa wa chini si nao wataiga
Nmependa sana nchi za wenzetu
Ukienda unakutana na vitu tofauti
Huku kitu haki yako lakini mtu anataka ukitoleee hela
Ova
Rushwa kubwa hawaziwezi kama hizi ndogo zinazinguaVijirushwa vya kijinga vya buku mbili ndiyo TAKUKURU wakomae nazo?Waanze na mikataba ya kipuuzi inayoumiza nchi.Kila mtu ahakikishe amebrashi viatu vyake hata kama ni vya plastiki.
Kwa hiyo waendelee kudaba rushwa?Trafiki wakikaza msianze kutoa milio.
Wanaudhi sana mwisho wanaacha kusimamia makosa wanakubana tu ilimradi utoe hela kama huwapi watakusumbua mpaka ukomeNishafanyaga hii biashara route ya mwananyamala -posta wakati ulee....
Pasua sana kia siku mnavutana na traffic kwenda polisi gari ilikuwa kama sebuleni
Pressure pressure tu nkaona shida ya nini
Ova
Na wao ni wala rushwa sanaNina pendekeza kama kweli TAKUKURU wako pale kumdhibiti na kupambana na rushwa basi wajifanye kama Kondakta wa daladala hasa za hapa Dar Es Salaam ili wakamate Traffic ambao wanaomba rushwa.
Kama hilo haliwezekani basi nashauri hiki kitengo aidha kifutwe au kibadilishiwe majukumu. Maana inafikirisha sana kwamba kila Raia anaona jinsi rushwa inavyoliwa kwa wazi kabisa na hawa askari wa usalama barabarani lakini TAKUKURU hawaioni.
Au hadi wapewe agizo na kutumwa!? Kwani Sheria haiwaruhusu kujifanyia kazi kwa namna yao hadi waagizwe na mamlaka zingine?
Soma Pia: Je, nini kifanyike ili kuongeza Ushiriki wa Wananchi katika Mapambano dhidi ya Rushwa?
Kwa hiyo tumewaweka wa nini sasaNa wao ni wala rushwa sana