Pre GE2025 Napendekeza Tanzania iufunge Mtandao wa TikTok

Pre GE2025 Napendekeza Tanzania iufunge Mtandao wa TikTok

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Watumiaji wengi wa tiktok hawana maadili. Badala ya kumfungia mtu mmoja mmoja, ni afadhali wakafungia mtandao, hadi pale elimu itakapotolewa kuhusu matumizi ya mtandao huo.
Binafsi sina account ya mtandao lakini kwa video zinazotumwa kwenye mitandao mingine kutoka kwa watumiaji wake; inaonesha wazi watumiaji mtandao huo wanautumia isivyo sawasawa.
Tulinde maadili yetu.
Umeshindwa hata kutengeneza takotoni unakuja kushadadia vya watu.
Uvccm mnamatatizo.
Au drama
images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom