Sio wote, mie simo tiki toku.Walioko kule ndio hawa hawa unaowaona humu
Hata mimi piaSio wote, mie simo tiki toku.
Nilishindwa, kila siku inaibuka mitandao mipya nitakuwa na akaunti ngapi, nimeshindwa kwendana na kasi ya mitandao
Umeshindwa hata kutengeneza takotoni unakuja kushadadia vya watu.Watumiaji wengi wa tiktok hawana maadili. Badala ya kumfungia mtu mmoja mmoja, ni afadhali wakafungia mtandao, hadi pale elimu itakapotolewa kuhusu matumizi ya mtandao huo.
Binafsi sina account ya mtandao lakini kwa video zinazotumwa kwenye mitandao mingine kutoka kwa watumiaji wake; inaonesha wazi watumiaji mtandao huo wanautumia isivyo sawasawa.
Tulinde maadili yetu.
[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]Huko tiktok kuna balaa niliingia nikakuta live ya mganga wa kienyeji nikacomment βTiktok na waganga mpo liveβ nilishangaa nimelishwa kitofari.!!
Yaani mtandao amba siuwazi ni huoooWalioko kule ndio hawa hawa unaowaona humu
Mganga anaomba watap tap screen na wam-follow naye atafollow back πππ[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1]
Nakubaliana na wewe kiongozi...maana hata jf kuna wengine wao ni siasa tu ila wengine mada zao ni za kula tunda kimasiharaInategemea na matumizi yko
Ukitoa youtube sehemu nyngne ya kujifunza ni tiktok
Mwenyewe hua simuelewi mwanaume mwenye account tiktok,likee na SnapchatMitandao ya mabinti.
Una pesa nyingiKila siku najiunga bando la Elfu 3 kisa tiktok