Maadui wa taifa letu:
1. Umaskini
2. Maradhi
3. UJINGA
Hizo talking points zishapitwa na wakati.
Nimehadithiwa yote hayo walileta wazungu. Kuna ukweli gani hapo?
hizo points zilinyafuliwa out of context enzi hizo disinformartion inasukwa kwa muafirica.
Ilikuwa hv, Vijana wanatumwa kutoka London ama Scotland kuja kufanya mukazi ya mumishenari. Kila baada ya muda banatuma muripoti kwao, kwa Wakulu zao, kwa ndugu zao ect ect
Karika barua zao balikuwa wakiandika mambo yanayowasumbua wao, yaani mamishionari na katika baadhi ya mamvo yaliyokuwa yakiwasumbua ni
Umasikini: Walikuwa wakishindwa kufanya yale banataka kwa kukosa fedha.
Maradhi: Maradhi mengi waliyokuja nayo yalikuwa hayatibiki Africa, magonjwa kama kaswende, gono, tb, malaria ect ect Na wakiwa wameishiwa madawa waliokuja nayo ndio basi tena.
Ujinga wao, ama ignorance?? ni ule kutaka kufanya mabadiliko makubwa na kwa haraka sana. Ikiwa ni pamoja na kuwabadilisha mapagani, mohamedians, kama walivyoiuwa wakiwaita enzi hizo. Pia walitamani desturi za mwafrica zifanane na za mzungu. That is ignorance. Ni Ujinga.
Taarifa zaidi unaweza kuzipata Googu na maktaba zingine za zuoni++ ukitafuta Barua walizokuwa wakiandika mamishionari kuenda makwao. Ukitafuta Journals za Mamishionari Afrika na Kwingineko
Hizo talking point sasa zinatumiwa kusengenya tyu. Hazina mashiko na zishapitwa na wakati.