Napendekeza tozo kwa kila mtu anayeingia jiji la Dar es Salaam na manispaa zake

Napendekeza tozo kwa kila mtu anayeingia jiji la Dar es Salaam na manispaa zake

Binafsi namshauri mh.waziri wa fedha kuangalia utaratibu wa kuwa tambua Dada poa(sexual commercial workers) wa mjini ili nao wawekewe utaratibu wao maalum wa kulipa Kodi maana ile ni biashara Kama biashara ya kuuza na kununua mayai.Nawasilisha ushauri wangu,Asanteni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kadhalika na wale wanaoingia na kutoka katika Jeniva Ya Afrika tafadhali [emoji1430][emoji13]
 
Kiukweli hili litaasaidia mnoo,tukumbuke hapa kuna wajanja wanaweza kufanya hujuma kwa kuacha kuja na kutoka Dar,hii itakuwa ni hujuma kubwa sana.Sasa ili kuwadhibiti sheria itungwe kwamba ukikaa miezi kadhaa bila kuingia na kitoka pia ukatwe kodi huko huko ulipo!
 
Mheshimiwa hili alitazame mara moja na akuteue kuwa waziri maalumu kufanya hizi operesheni.๐Ÿคฃ
 
Mheshimiwa hili alitazame mara moja na akuteue kuwa waziri maalumu kufanya hizi operesheni.๐Ÿคฃ
(pwaa pwa pwa) makofi,,
nashukuru ndugu mwenyekiti wa kamati maalum kwa kuniona na kunitoa chini mavumbini,

Nipende kusema kuwa sitakuangusha,na kile kiasi cha ziada baada ya makusanyo nitakuwa nikikutunzia kule kwenye acc. yako iliyopo Uswizi!
 
Unaonaje wawe wanakuja na pasipoti kabisa, halafu visa dollar mia.

Na tuwape na siku za kukaa, akizidisha ameoverstay tunamfunga.

Vituo tuweke kule Mkuranga, Kisarawe, Bagamoyo na chalinze.
 
Unaonaje wawe wanakuja na pasipoti kabisa, halafu visa dollar mia.

Na tuwape na siku za kukaa, akizidisha ameoverstay tunamfunga.

Vituo tuweke kule Mkuranga, Kisarawe, Bagamoyo na chalinze.
 
Tozo ingeelekezwa kwenye misikiti, makanisa, kumbi za starehe baa na magari ya matangazo yanayopiga makelele kwenye mitaa na makazi ya watu. Hiki ni chanzo cha uhakika cha mapato ya Halmashauri au hata TRA.
 
Idadi kubwa sana ya watu wanaingia katika jiji la Dar es Salaam kila siku. Ninaona hiki kigeuzwe kuwa chanzo cha tozo.

Asiwepo wa kubaguliwa hata wale wanaopita na misafara na ving'ora. Wekeni toll gate pale kiluvya, Bunju, Kongowe, ya Kilwa road na hapo Azam Ferry.

Nimeona sana toll gates pale Bangkok Thailand.
Itakuwa na tofauti gani na vyoo vya stendi
 
(pwaa pwa pwa) makofi,,
nashukuru ndugu mwenyekiti wa kamati maalum kwa kuniona na kunitoa chini mavumbini,

Nipende kusema kuwa sitakuangusha,na kile kiasi cha ziada baada ya makusanyo nitakuwa nikikutunzia kule kwenye acc. yako iliyopo Uswizi!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kama mbwai mbwai tu
 
Mimi napendekeza wanasiasa wote walipe tozo kila mwaka kama sehemu ya kuunga mkono juhudi za maendeleo.

Ikiwezekana wawe na Bodi yao ya wanasiasa nchini! Hivyo ukitaka kuwa mwananchama, au kugombea nafasi yoyote ile, basi ni lazima tozo ya laki kadhaa serikalini.
 
Dr Nchemba a.k.a Rais wa mawe afanyie kazi hili wazo.waziri wa nishati aongeze tozo kwenye umeme.
 
Back
Top Bottom