Napendekeza tozo kwa kila mtu anayeingia jiji la Dar es Salaam na manispaa zake

Unaonaje wawe wanakuja na pasipoti kabisa, halafu visa dollar mia.

Na tuwape na siku za kukaa, akizidisha ameoverstay tunamfunga.

Vituo tuweke kule Mkuranga, Kisarawe, Bagamoyo na chalinze.
😂😂😂
 
Naunga mkono hoja, dar ukija lazima uje na kodi ya kichwa, tumejaa sana
 
Haki ya kufanya movement itakuwa imevunjwa.
Badili katiba ndipo muweke tozo za kuingia Dar
 
Upo sahihi kabisa.Kama kuingia Kigamboni kuna tozo nadhani ni muda sahihi sasa kuweka tozo za kuingia Dar es Salaam.

Hili Iji ni la kitalii kila sehemu ni kivutio.
 
Upo sahihi kabisa.Kama kuingia Kigamboni kuna tozo nadhani ni muda sahihi sasa kuweka tozo za kuingia Dar es Salaam.

Hili Iji ni la kitalii kila sehemu ni kivutio.
Kweli aisee, kigamboni bila tozo hakuendeki.
 
Louder....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…