Napendekeza upimaji VVU kwa lazima kila mwaka; waathirika wawekewe alama sehemu za siri

Napendekeza upimaji VVU kwa lazima kila mwaka; waathirika wawekewe alama sehemu za siri

Nyuzi kama hizi huwa zinapata wachangiaji kidogo sana .

Mkuuu unacheza na ngono nn ???? Watu hawapendi kupotea pekee yao man .dawa ni kuwapima kabla ya kula .
 
Hv kwa mfano ukipata wewe au babako mkifanyiwa hivyo utajisikiaje kwa mfano?yaani mnapigwa alama Kama hizo huko kunako nk.nauliza tu mkuu.maana huu ugonjwa umegusa kila familia kwa namna moja ama nyingine
 
Hoja yako ingekuwa ya msingi sana iwapo ngono pekee ndio ingekuwa njia ya maambukizo,Maana halisi ya kuondoa unyanyapaa kwa waathirika ni kuwafanya waendelee kuwa ni sehemu ya jamii ambayo inawajibika kwao na wao wanawajibu wa kuilinda jamii hiyo.Ni rahisi sana kwa muuathirika wa ukimwi kuwa kama mbwa mwenye kichaa anapogundua jamii inamsimanga na kumtenga.Muhimu ni elimu iendelee kutolewa na raia tujiepushe na ngono ambazo si salama.
1.) Kwani mtu aliyepata VVU kwa njia ambayo sio ya ngono, hawezi kusambaza kwa njia ya ngono? Nini msingi wa kauli yako hii? I don't know.

2.) Kwani mtu kupimwa kwa lazima na kuwekea alama katika sehemu ambayo hata wewe unayewekewa huwezi kuiona kunakufanya usiwe sehemu ya jamii? Au watu watakusimanga bila wewe mwenyewe kuwaonyesha kwa hiari yako alama uliyowekea sehemu ya siri? Na kama uliwaonyesha lengo lako lilikuwa ni nini kama sio ulitaka kuwaambukiza? Nini msingi wa kauli yako hii? I don't know.

3.) Elimu inatolewa, lakini VVU bado vipo kwa sababu ngono sio starehe kama watu wanavyodhani, ngono ni nyenzo muhimu sana katika muendelezo wa maisha ya binadamu, tusiwabeze watu wanaopenda ngono, ni watu muhimu sana katika jamii ya binadamu.
 
Kwa sisi tunaopiga mchicha style tutaionaje hiyo Alama mkuu
 
Hv kwa mfano ukipata wewe au babako mkifanyiwa hivyo utajisikiaje kwa mfano?yaani mnapigwa alama Kama hizo huko kunako nk.nauliza tu mkuu.maana huu ugonjwa umegusa kila familia kwa namna moja ama nyingine
Ndio maana nimesema kwenye post moja wapo kuwa, tunahitaji kujitoa akili for the betterment of our society, unajua maana ya kujitoa akili? Naamini Hitler angekuwepo leo hii, ujerumani ndio ingekuwa nchi pekee duniani free from VVU
 
Hivi uliona waziri wa ujenzi aliyepita anakunywa kikombe kwa babu? Jiulize kwann then ulete proposal yako. Nan wa kumfunga paka kengele? Acha tupuyangane likikukuta R.I.P!!
 
Hivi uliona waziri wa ujenzi aliyepita anakunywa kikombe kwa babu? Jiulize kwann then ulete proposal yako. Nan wa kumfunga paka kengele? Acha tupuyangane likikukuta R.I.P!!
Hii sio hoja, atakaeona its too much anaweza kuomba uraia hata wa DRC ambako nobody cares about shit!
 
Mpaka mwisho wa hii dunia hatutapata suluhisho; unless igunduliwe chanjo au dawa. Kinyime cha hapo dawa ni hiyo niliyowapa, ila mpango huu unahitaji dikteta kuufanikisha, Rais legelege hatoweza kamwe! Pia Airport pawekwe utaratibu wa wageni wote kupimwa VVU kabla ya kuingia nchini, AIDS should be treated like EBOLA! Mi nashangaaga tunabembeleza bembeleza nini na huku watu wanazidi kuambukizana kila kukicha, tena tunapeana dawa za kurefusha maisha (kurefusha muda wa kusambaza), this is shear insanity! Its madness!!
Ebu pendekeza hyo alama inawekwaje
 
Sasa mtu anakubalije kuuawa kizembe? Ukiondoa wachache sana wanaobakwa, mengine ni ya kujitakia. Yes. Kujitakia. Zamani enzi za ujana wangu nilikuwa nafanya uhuni na kuwatease baadhi ya mabinti. Unamwambia aisee tutumie condom au tusitumie? Unajibiwa " wewee tuu". Huu si uhayawani huu?
Vipi kama ni mpenzi wako mliepima then baadae akaukwaa na kukuambukiza, kumbuka, lengo la ngono ni procreation na sio starehe pekee.., kwahiyo huwezi tumia condom na 'mkeo'
 
Mpaka mwisho wa hii dunia hatutapata suluhisho; unless igunduliwe chanjo au dawa. Kinyime cha hapo dawa ni hiyo niliyowapa, ila mpango huu unahitaji dikteta kuufanikisha, Rais legelege hatoweza kamwe! Pia Airport pawekwe utaratibu wa wageni wote kupimwa VVU kabla ya kuingia nchini, AIDS should be treated like EBOLA! Mi nashangaaga tunabembeleza bembeleza nini na huku watu wanazidi kuambukizana kila kukicha, tena tunapeana dawa za kurefusha maisha (kurefusha muda wa kusambaza), this is shear insanity! Its madness!!
mzee wa ''expansion joint'' unakumbuka tuliwahi kutengenezewa dawa feck za ARV na kiwanda kilichopo ndani ya nchi yetu watu walipukutika kama viwavi jeshi? kila kitu kwetu cyo salama na maoni yako inatupa picha kuwa ww ni mzinifu kwa kiwango cha sadoma zingatia ngono salama tumia kondom au kuwa mwaminifu hakuna kupigwa chapa hao siyo ngombe
 
Even though niko against wazo lako mkuu, lakini nikupe swali fikirishi. Ukisema wapime kila mwaka huoni maambukizi bado yatakuwepo? Kwa sababu mtu anaweza pima saivi lakini akapata maambukizi three months later , naye akaambukiza wengine ndani ya mwaka kabla kupima mwaka unaofuata na kupewa chapa yake sehemu za siri?! Ungesema wapimwe kila miezi mitatu na siyo mwaka.
 
mzee wa ''expansion joint'' unakumbuka tuliwahi kutengenezewa dawa feck za ARV na kiwanda kilichopo ndani ya nchi yetu watu walipukutika kama viwavi jeshi? kila kitu kwetu cyo salama na maoni yako inatupa picha kuwa ww ni mzinifu kwa kiwango cha sadoma.
Unajua ni maisha ya watu wa ngapi yameokolewa kwa hiko kiwanda kutengeneza ARV feki? Pengine hata wewe leo hii ungekuwa haupo, nampa pongezi mmliki wa kiwanda.
 
Even though niko against wazo lako mkuu, lakini nikupe swali fikirishi. Ukisema wapime kila mwaka huoni maambukizi bado yatakuwepo? Kwa sababu mtu anaweza pima saivi lakini akapata maambukizi three months later , naye akaambukiza wengine ndani ya mwaka kabla kupima mwaka unaofuata na kupewa chapa yake sehemu za siri?! Ungesema wapimwe kila miezi mitatu na siyo mwaka.
Ndiocmaana nikasema, tukifanya strictly for 5yrs, tutakuwa tumefikia lengo by atleast 90%, maana tutakuwa na 'an exponential decrease toward zero'.
 
Back
Top Bottom