Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
1.) Kwani mtu aliyepata VVU kwa njia ambayo sio ya ngono, hawezi kusambaza kwa njia ya ngono? Nini msingi wa kauli yako hii? I don't know.Hoja yako ingekuwa ya msingi sana iwapo ngono pekee ndio ingekuwa njia ya maambukizo,Maana halisi ya kuondoa unyanyapaa kwa waathirika ni kuwafanya waendelee kuwa ni sehemu ya jamii ambayo inawajibika kwao na wao wanawajibu wa kuilinda jamii hiyo.Ni rahisi sana kwa muuathirika wa ukimwi kuwa kama mbwa mwenye kichaa anapogundua jamii inamsimanga na kumtenga.Muhimu ni elimu iendelee kutolewa na raia tujiepushe na ngono ambazo si salama.
Ndio maana nimesema kwenye post moja wapo kuwa, tunahitaji kujitoa akili for the betterment of our society, unajua maana ya kujitoa akili? Naamini Hitler angekuwepo leo hii, ujerumani ndio ingekuwa nchi pekee duniani free from VVUHv kwa mfano ukipata wewe au babako mkifanyiwa hivyo utajisikiaje kwa mfano?yaani mnapigwa alama Kama hizo huko kunako nk.nauliza tu mkuu.maana huu ugonjwa umegusa kila familia kwa namna moja ama nyingine
Hiyo alama inabidi ndio iwe kitu cha kwanza kukagua, obviouslyKwa sisi tunaopiga mchicha style tutaionaje hiyo Alama mkuu
Hizo ni propaganda za wamarekani, na hazina tena nafasi katika vichwa huru vyenye mawazo huru!Unyanyapaa huo.
Hii sio hoja, atakaeona its too much anaweza kuomba uraia hata wa DRC ambako nobody cares about shit!Hivi uliona waziri wa ujenzi aliyepita anakunywa kikombe kwa babu? Jiulize kwann then ulete proposal yako. Nan wa kumfunga paka kengele? Acha tupuyangane likikukuta R.I.P!!
Tena kwa lazimaNyuzi kama hizi huwa zinapata wachangiaji kidogo sana .
Mkuuu unacheza na ngono nn ???? Watu hawapendi kupotea pekee yao man .dawa ni kuwapima kabla ya kula .
Ebu pendekeza hyo alama inawekwajeMpaka mwisho wa hii dunia hatutapata suluhisho; unless igunduliwe chanjo au dawa. Kinyime cha hapo dawa ni hiyo niliyowapa, ila mpango huu unahitaji dikteta kuufanikisha, Rais legelege hatoweza kamwe! Pia Airport pawekwe utaratibu wa wageni wote kupimwa VVU kabla ya kuingia nchini, AIDS should be treated like EBOLA! Mi nashangaaga tunabembeleza bembeleza nini na huku watu wanazidi kuambukizana kila kukicha, tena tunapeana dawa za kurefusha maisha (kurefusha muda wa kusambaza), this is shear insanity! Its madness!!
Vipi kama ni mpenzi wako mliepima then baadae akaukwaa na kukuambukiza, kumbuka, lengo la ngono ni procreation na sio starehe pekee.., kwahiyo huwezi tumia condom na 'mkeo'Sasa mtu anakubalije kuuawa kizembe? Ukiondoa wachache sana wanaobakwa, mengine ni ya kujitakia. Yes. Kujitakia. Zamani enzi za ujana wangu nilikuwa nafanya uhuni na kuwatease baadhi ya mabinti. Unamwambia aisee tutumie condom au tusitumie? Unajibiwa " wewee tuu". Huu si uhayawani huu?
mzee wa ''expansion joint'' unakumbuka tuliwahi kutengenezewa dawa feck za ARV na kiwanda kilichopo ndani ya nchi yetu watu walipukutika kama viwavi jeshi? kila kitu kwetu cyo salama na maoni yako inatupa picha kuwa ww ni mzinifu kwa kiwango cha sadoma zingatia ngono salama tumia kondom au kuwa mwaminifu hakuna kupigwa chapa hao siyo ngombeMpaka mwisho wa hii dunia hatutapata suluhisho; unless igunduliwe chanjo au dawa. Kinyime cha hapo dawa ni hiyo niliyowapa, ila mpango huu unahitaji dikteta kuufanikisha, Rais legelege hatoweza kamwe! Pia Airport pawekwe utaratibu wa wageni wote kupimwa VVU kabla ya kuingia nchini, AIDS should be treated like EBOLA! Mi nashangaaga tunabembeleza bembeleza nini na huku watu wanazidi kuambukizana kila kukicha, tena tunapeana dawa za kurefusha maisha (kurefusha muda wa kusambaza), this is shear insanity! Its madness!!
Watalaam wa kitabibu wanaweza wakatushauri vyema hapa. Wanaweza wakapendekeza uwekwajicwa 'chale' kitabibu.Ebu pendekeza hyo alama inawekwaje
Unajua ni maisha ya watu wa ngapi yameokolewa kwa hiko kiwanda kutengeneza ARV feki? Pengine hata wewe leo hii ungekuwa haupo, nampa pongezi mmliki wa kiwanda.mzee wa ''expansion joint'' unakumbuka tuliwahi kutengenezewa dawa feck za ARV na kiwanda kilichopo ndani ya nchi yetu watu walipukutika kama viwavi jeshi? kila kitu kwetu cyo salama na maoni yako inatupa picha kuwa ww ni mzinifu kwa kiwango cha sadoma.
Ndiocmaana nikasema, tukifanya strictly for 5yrs, tutakuwa tumefikia lengo by atleast 90%, maana tutakuwa na 'an exponential decrease toward zero'.Even though niko against wazo lako mkuu, lakini nikupe swali fikirishi. Ukisema wapime kila mwaka huoni maambukizi bado yatakuwepo? Kwa sababu mtu anaweza pima saivi lakini akapata maambukizi three months later , naye akaambukiza wengine ndani ya mwaka kabla kupima mwaka unaofuata na kupewa chapa yake sehemu za siri?! Ungesema wapimwe kila miezi mitatu na siyo mwaka.