Napendekeza upimaji VVU kwa lazima kila mwaka; waathirika wawekewe alama sehemu za siri

Mi binafsi sijakaushia, ila nilikua napitia kwanza comment za wadau kwanza nione povu lilivyo.
Sana natoa maoni, ni jambo Jema sana isipokua ushirikiano na wizara husika na wafanikishaji wa huo pango, itakuaje?.
Maana kama wameasirika hawatajiwekea alama wao. Na kama sio vipi kuhusu rushwa huoni itaka ni kama kwa rafiki zetu wa barabarani?.
 
1.) Sasa kuna nchi ambayo population ya 2002 ni sawa na population ya 2012 hapa duniani?

2.) Ukuaji wa population ya Africa ilibidi uwe mara 2 au 3 kama sio mara 5 ya hii population growth tunayoiona, ila ni juhudi hizi za uzazi wa mpango, VVU na abortion zinazofadhiliwa kwa nguvu kubwa ndio zinadidimia full potential tuliyonayo.

Nenda vijijini huko uone palivyo patupu, Africa ina watu wachache sana, unaweza ukasafiri hata kilomita 100 usipishane na nyimba njiani kwenye highway, zaidi ya vibanda vya kuku pembezoni mwa barabara, hakuna watu kabisa, watu wote tunajazana mijini kama kambale kwenye tope halafu tunajiona tuko weeeeengii..., kumbe tumejilundik sehemu moja. Africa ni kubwa sana na idadi yake ya watu ni ndogo mno! That is why we are soo weak..!!!
 
Sasa unataka hata wanafunzi wazaliane hovyo hovyo tu bila kutimiza malengo yao?.Mtu una chumba kimoja,kipato chako kidogo,unataka uzallane tu kama panya sababu tu eti kuna Eneo la kutosha?Thats nonsense.Population kutokukua kuna factors nyingi sana,wala siyo eti sababu ya abortions na Pills nyinyine.Suala la Afya umelizingalitia?,Unajua ni watu wangapi wanakufa sababu ya huduma duni za afya?.Unafahamu ni watu wangapi wanakufa sababu ya vita vya kijinga vya kikabila Africa?.Civil war n.k.nk.?.Tukitaka kuzaliana na kuwa na Population kubwa na bora ni lazima tutizame swala la Afya kama mboni ya jicho,pia elimu n.k n.k.Hii ni pamoja na kuzuia mimba za utotoni ili vijana wetu wasome waje kuzaa wakiwa na akili timamu na uwezo wa kulea familia.Hapa hakuna cha mmarekani wala nini,ni commonse sense tu.
 
 
FRANCIS, we ni genius na kama marekani wakisikia una kauli hiyo watakutafuta wakupoteze

Nachoamini nchi yoyote ili iendelee kimaendeleo lazima watu wawe wengi kwenye nchi hiyo, marekan anaogopa xana nchi za Africa kuendelea na ndo mana wana mpango wa kila aina kupunguza population kwa njia kama magonjwa, uzazi wa mpango. na kuleta madawa mbali mbali mbali.

hakuna njia nyngne zaid ya hiyo msiwaze masuala ya kuwanyanyapa ili watu wawe safe lazima watu waumie pia! so me naona ni sawa ila sidhan kama kuna kiongozi wa kufanya hivo
 
Another Stanley Jilaoneka Yono Kevela
 
Maneno uliyotumia kwenye bandiko lako hili yana rangi ya Hasira,
Harufu ya Chuki na Sauti ya 'Mkomoeni'
Pamoja na chembechembe nyenyevu za unyanyapaa.

Kuna nini kwani kiongozi?
 
Maneno uliyotumia kwenye bandiko lako hili yana rangi ya Hasira,
Harufu ya Chuki na Sauti ya 'Mkomoeni'
Pamoja na chembechembe nyenyevu za unyanyapaa.

Kuna nini kwani kiongozi?
Hii ni kweli wala hajanyanyapaa hili swala likifanyiwa urafiki na ndugu halitaisha ni kulifanyia caranteen kama wagonjwa wa kipindupindu au ebola bila hivyo hakuna kizazi kwa africa miaka ijayo
 
Hii ni kweli wala hajanyanyapaa hili swala likifanyiwa urafiki na ndugu halitaisha ni kulifanyia caranteen kama wagonjwa wa kipindupindu au ebola bila hivyo hakuna kizazi kwa africa miaka ijayo
Iwe handled kama Ebola, hakuna namna!
 
Sasa wakiweka alama na wanao fanya gizani inakuwaje au kwenye daladala... n.k
 
Hata korea kaskazini kuna ukimwi lakini hilo haliwezekani kamwe.....Ni ngumu kutekeleza maana mtu atapima leo lakin kesho anaambukizwa.
 
Hata korea kaskazini kuna ukimwi lakini hilo haliwezekani kamwe.....Ni ngumu kutekeleza maana mtu atapima leo lakin kesho anaambukizwa.
Changamoto zipo, lakini itapunguza kwa asilimia kubwa kama kuutokomeza kabisa..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…