Kyambamasimbi
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 762
- 1,597
Kwa nini mkuuWapumbavu tuu
Huyu jamaa hujakosea kabisaDr. Umughaka, Doctor of Letters
SawasawaFuta Dkt. zote weka ndugu.......
Inapendeza zaidi. Maisha haya kumuita Dkt. Isiyo na malipo taslim ni bure
ID yako nyingine hii ?Gentamycine
Ongeza na GENTAMYCINEKutokana michango yao kimawazo wafuatao wanapaswa majina yaanze na. Dr.
Dkt. Mshana Jr
Dkt. Bujibuji
Dkt.Mwashambwa Lucas
Dkt.Mpwayungu
Dkt.sky cleist
Dkt. Kichwa kichafu
Dkt. To Yeye
Dkt. Kyambamasimbi
Dkt. Mayala
Hayo Ni mawazo yangu wewe pendeza wako tusimsahau Dkt wa stendi.
Kutokana michango yao kimawazo wafuatao wanapaswa majina yaanze na. Dr.
Dkt. Mshana Jr
Dkt. Bujibuji
Dkt.Mwashambwa Lucas
Dkt.Mpwayungu
Dkt.sky cleist
Dkt. Kichwa kichafu
Dkt. To Yeye
Dkt. Kyambamasimbi
Dkt. Mayala
Hayo Ni mawazo yangu wewe pendeza wako tusimsahau Dkt wa stendi.