Napendekeza Wanajamiiforum wanaostahili udaktari wa heshima na wewe unaweza pendekeza

Napendekeza Wanajamiiforum wanaostahili udaktari wa heshima na wewe unaweza pendekeza

Kutokana michango yao kimawazo wafuatao wanapaswa majina yaanze na. Dr.
Dkt. Mshana Jr
Dkt. Bujibuji
Dkt.Mwashambwa Lucas
Dkt.Mpwayungu
Dkt.sky cleist
Dkt. Kichwa kichafu
Dkt. To Yeye
Dkt. Kyambamasimbi
Dkt. Mayala
Hayo Ni mawazo yangu wewe pendeza wako tusimsahau Dkt wa stendi.
Dr. Rejao, Dr. Bongolala, Dr. Malariasugu, Dr. Faizafoxy, Dr. Manjagata
 
Kumbe uchawa huanzia ngazi za chini kabisa.
Unapachika tu udaktari aiseee.
 
Kutokana michango yao kimawazo wafuatao wanapaswa majina yaanze na. Dr.
Dkt. Mshana Jr
Dkt. Bujibuji
Dkt.Mwashambwa Lucas
Dkt.Mpwayungu
Dkt.sky cleist
Dkt. Kichwa kichafu
Dkt. To Yeye
Dkt. Kyambamasimbi
Dkt. Mayala
Hayo Ni mawazo yangu wewe pendeza wako tusimsahau Dkt wa stendi.
Kutoka chuo gani mkuu huo udr wa mchongo🕵️🕵️
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
Sawa tujitekebishe=Tujirekebishe.
 
Sioni wakali kutoka battle ya Dar es Salaam na Nairobi?

Sioni wakali kutoka Jamii Intelligence?
Kiranga na wenzie?

Sioni wakali kutoka battle ya Urusi na Ukirene?

Sioni wakali kutoka michezo?

Sasa mlitumia vigezo gani kuwapata hawa?!
 
Kutokana michango yao kimawazo wafuatao wanapaswa majina yaanze na. Dr.
Dkt. Mshana Jr
Dkt. Bujibuji
Dkt.Mwashambwa Lucas
Dkt.Mpwayungu
Dkt.sky cleist
Dkt. Kichwa kichafu
Dkt. To Yeye
Dkt. Kyambamasimbi
Dkt. Mayala
Hayo Ni mawazo yangu wewe pendeza wako tusimsahau Dkt wa stendi.
Kwa mpwayungu hapana
 
Na Mpwayungu? we hauko serious
 
Mimi Dkt. mlokole sipo hapo...

Umenikosea sana..

[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom