Napendekeza Wanajamiiforum wanaostahili udaktari wa heshima na wewe unaweza pendekeza

Kutokana michango yao kimawazo wafuatao wanapaswa majina yaanze na. Dr.
Dkt. Mshana Jr
Dkt. Bujibuji
Dkt.Mwashambwa Lucas
Dkt.Mpwayungu
Dkt.sky cleist
Dkt. Kichwa kichafu
Dkt. To Yeye
Dkt. Kyambamasimbi
Dkt. Mayala
Hayo Ni mawazo yangu wewe pendeza wako tusimsahau Dkt wa stendi.
Huyu Lucas mwashambwa inafaa jina lake lianze Chawa.pro max.............
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
Kutokana michango yao kimawazo wafuatao wanapaswa majina yaanze na. Dr.
Dkt. Mshana Jr
Dkt. Bujibuji
Dkt.Mwashambwa Lucas
Dkt.Mpwayungu
Dkt.sky cleist
Dkt. Kichwa kichafu
Dkt. To Yeye
Dkt. Kyambamasimbi
Dkt. Mayala
Hayo Ni mawazo yangu wewe pendeza wako tusimsahau Dkt wa stendi.
Acha uchawa tafuta pesa
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
Teknolojia ilikuwa inamuumbua anadai yéyé sio mwalimu wakati contents zake za nyuma alikuwa anaomba kazi ya ualimu diploma
Ni mjinga
 
Back
Top Bottom