Napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea Samia Suluhu aendelee kutenda mema

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Kama kipenzi cha mama, napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea mheshimwa Samia Suluhu aendelee kutenda mema.

Mosi, ameleta amani, maendeleo, ma mshikamano baada ya Jiwe na wananzengo kutaka kuuvuruga.

Pili, amekamata wanaotaka kuvuruga amani na mshikamano wetu.

Tatu, amefungua nchi hadi wachina sasa wanajaa kuja kuchukua sorry kuwekeza.

Nne, ameikomesha CHADEMA hadi kuwazoa wanachama wake kwa maelfu.

Tano, sasa mvua zinanyesha na bwawa la Mwl litajaa mbali na wakulima kupata mvua za kutosha.

Sita, mama anamwaga pesa kila mahali.

Saba, azidi kuwa na huruma kwa wanadamu hata machawa.

Nane, aendelee kubeba maono na kutenda miujiza.

Tisa, anapenda sana wanadamu kuliko kiumbe yeyote tokana na ubora wake.
 
Kama kipenzi cha mama, napendekeza watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea mheshimwa rais daktari profesa SSH aendelee kutenda mema.

Muombee kwanza mama yako MZAZI aliyebeba mimba miez tisa
 
Join 2012 afu hujielewi then mnadai vijana wanaharibu jf no wonder unawajukuu kabisa
 
Ni kwlei nina wajukuu na lugha yangu ni ya kiutu uzima sana kwa vijana kama wewe kuielewa. Natamani ungenielewa usingeandika uliyoandika. Hata hivyo, namshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH.
 
Kama kipenzi cha mama, napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea mheshimwa Samia Suluhu aendelee kutenda mema.

Mosi, ameleta amani, maendeleo, ma mshikamano baada ya Jiwe na wananzengo kutaka kuuvuruga.

Pili, amekamata wanaotaka kuvuruga amani na mshikamano wetu.

Tatu, amefungua nchi hadi wachina sasa wanajaa kuja kuchukua sorry kuwekeza.

Nne, ameikomesha CHADEMA hadi kuwazoa wanachama wake kwa maelfu.

Tano, sasa mvua zinanyesha na bwawa la Mwl litajaa mbali na wakulima kupata mvua za kutosha.

Sita, mama anamwaga pesa kila mahali.

Saba, azidi kuwa na huruma kwa wanadamu hata machawa.

Nane, aendelee kubeba maono na kutenda miujiza.

Tisa, anapenda sana wanadamu kuliko kiumbe yeyote tokana na ubora wake.
Ushetani huo. Amwombee nani? Watu viwete Wananchi wake wanatekwa.

Uongozi haujali
 
Ni kwlei nina wajukuu na lugha yangu ni ya kiutu uzima sana kwa vijana kama wewe kuielewa. Natamani ungenielewa usingeandika uliyoandika. Hata hivyo, namshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH.
Dktari profesa duh hapa inabidi mapusha wakamatwe wote wawekwe ndani
 
Kama kipenzi cha mama, napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea mheshimwa Samia Suluhu aendelee kutenda mema.

Mosi, ameleta amani, maendeleo, ma mshikamano baada ya Jiwe na wananzengo kutaka kuuvuruga.

Pili, amekamata wanaotaka kuvuruga amani na mshikamano wetu.

Tatu, amefungua nchi hadi wachina sasa wanajaa kuja kuchukua sorry kuwekeza.

Nne, ameikomesha CHADEMA hadi kuwazoa wanachama wake kwa maelfu.

Tano, sasa mvua zinanyesha na bwawa la Mwl litajaa mbali na wakulima kupata mvua za kutosha.

Sita, mama anamwaga pesa kila mahali.

Saba, azidi kuwa na huruma kwa wanadamu hata machawa.

Nane, aendelee kubeba maono na kutenda miujiza.

Tisa, anapenda sana wanadamu kuliko kiumbe yeyote tokana na ubora wake.
Nchi ilisha pinda hii
 
Back
Top Bottom