Kama kipenzi cha mama, napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea mheshimwa Samia Suluhu aendelee kutenda mema.
Mosi, ameleta amani, maendeleo, ma mshikamano baada ya Jiwe na wananzengo kutaka kuuvuruga.
Pili, amekamata wanaotaka kuvuruga amani na mshikamano wetu.
Tatu, amefungua nchi hadi wachina sasa wanajaa kuja kuchukua sorry kuwekeza.
Nne, ameikomesha CHADEMA hadi kuwazoa wanachama wake kwa maelfu.
Tano, sasa mvua zinanyesha na bwawa la Mwl litajaa mbali na wakulima kupata mvua za kutosha.
Sita, mama anamwaga pesa kila mahali.
Saba, azidi kuwa na huruma kwa wanadamu hata machawa.
Nane, aendelee kubeba maono na kutenda miujiza.
Tisa, anapenda sana wanadamu kuliko kiumbe yeyote tokana na ubora wake.