The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Muombee kwanza mama yako MZAZI aliyebeba mimba miez tisaKama kipenzi cha mama, napendekeza watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea mheshimwa rais daktari profesa SSH aendelee kutenda mema.
Mosi, ameleta amani, maendeleo, ma mshikamano baada ya Jiwe na wananzengo kutaka kuuvuruga.
Pili, amekamata wanaotaka kuvuruga amani na mshikamano wetu.
Tatu, amefungua nchi hadi wachina sasa wanajaa kuja kuchukua sorry kuwekeza.
Nne, ameikomesha CHADEMA hadi kuwazoa wanachama wake kwa maelfu.
Tano, sasa mvua zinanyesha na bwawa la Mwl litajaa mbali na wakulima kupata mvua za kutosha.
Sita, mama anamwaga pesa kila mahali.
Saba, azidi kuwa na huruma kwa wanadamu hata machawa.
Nane, aendelee kubeba maono na kutenda miujiza.
Tisa, anapenda sana wanadamu kuliko kiumbe yeyote tokana na ubora wake.
Join 2012 afu hujielewi then mnadai vijana wanaharibu jf no wonder unawajukuu kabisaKama kipenzi cha mama, napendekeza watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea mheshimwa rais daktari profesa SSH aendelee kutenda mema.
Mosi, ameleta amani, maendeleo, ma mshikamano baada ya Jiwe na wananzengo kutaka kuuvuruga.
Pili, amekamata wanaotaka kuvuruga amani na mshikamano wetu.
Tatu, amefungua nchi hadi wachina sasa wanajaa kuja kuchukua sorry kuwekeza.
Nne, ameikomesha CHADEMA hadi kuwazoa wanachama wake kwa maelfu.
Tano, sasa mvua zinanyesha na bwawa la Mwl litajaa mbali na wakulima kupata mvua za kutosha.
Sita, mama anamwaga pesa kila mahali.
Saba, azidi kuwa na huruma kwa wanadamu hata machawa.
Nane, aendelee kubeba maono na kutenda miujiza.
Tisa, anapenda sana wanadamu kuliko kiumbe yeyote tokana na ubora wake.
Ni kwlei nina wajukuu na lugha yangu ni ya kiutu uzima sana kwa vijana kama wewe kuielewa. Natamani ungenielewa usingeandika uliyoandika. Hata hivyo, namshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH.Join 2012 afu hujielewi then mnadai vijana wanaharibu jf no wonder unawajukuu kabisa
Mshukuruni mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa hilo mwanangu.Ukombozi upo njiani Mungu tusamehe binadamu na ngurue Kama hz
Ushetani huo. Amwombee nani? Watu viwete Wananchi wake wanatekwa.Kama kipenzi cha mama, napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea mheshimwa Samia Suluhu aendelee kutenda mema.
Mosi, ameleta amani, maendeleo, ma mshikamano baada ya Jiwe na wananzengo kutaka kuuvuruga.
Pili, amekamata wanaotaka kuvuruga amani na mshikamano wetu.
Tatu, amefungua nchi hadi wachina sasa wanajaa kuja kuchukua sorry kuwekeza.
Nne, ameikomesha CHADEMA hadi kuwazoa wanachama wake kwa maelfu.
Tano, sasa mvua zinanyesha na bwawa la Mwl litajaa mbali na wakulima kupata mvua za kutosha.
Sita, mama anamwaga pesa kila mahali.
Saba, azidi kuwa na huruma kwa wanadamu hata machawa.
Nane, aendelee kubeba maono na kutenda miujiza.
Tisa, anapenda sana wanadamu kuliko kiumbe yeyote tokana na ubora wake.
Ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSHUshetani huo. Amwombee nani? Watu viwete Wananchi wake wanatekwa.
Uongozi wa kijinga
Dktari profesa duh hapa inabidi mapusha wakamatwe wote wawekwe ndaniNi kwlei nina wajukuu na lugha yangu ni ya kiutu uzima sana kwa vijana kama wewe kuielewa. Natamani ungenielewa usingeandika uliyoandika. Hata hivyo, namshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH.
Yep. Ni daktari profesa na mbeba maono mwanangu. Ni jambo la kumshukuru sana mheshimiwa rais daktari profesa mbeba maono SSHDktari profesa duh hapa inabidi mapusha wakamatwe wote wawekwe ndani
Kazi ipoYep. Ni daktari profesa na mbeba maono mwanangu. Ni jambo la kumshukuru sana mheshimiwa rais daktari profesa mbeba maono SSH
Mshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa hili na maono yake mwanangu kkkk.Kazi ipo
Mshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa hilo pia. Huoni watu wanakwamatwa na amani inazidi kuongezeka kkkk?Kwa mara ya kwanza Tz tumepata rahisi kila.za!.
Nchi ilisha pinda hiiKama kipenzi cha mama, napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea mheshimwa Samia Suluhu aendelee kutenda mema.
Mosi, ameleta amani, maendeleo, ma mshikamano baada ya Jiwe na wananzengo kutaka kuuvuruga.
Pili, amekamata wanaotaka kuvuruga amani na mshikamano wetu.
Tatu, amefungua nchi hadi wachina sasa wanajaa kuja kuchukua sorry kuwekeza.
Nne, ameikomesha CHADEMA hadi kuwazoa wanachama wake kwa maelfu.
Tano, sasa mvua zinanyesha na bwawa la Mwl litajaa mbali na wakulima kupata mvua za kutosha.
Sita, mama anamwaga pesa kila mahali.
Saba, azidi kuwa na huruma kwa wanadamu hata machawa.
Nane, aendelee kubeba maono na kutenda miujiza.
Tisa, anapenda sana wanadamu kuliko kiumbe yeyote tokana na ubora wake.
Tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa kuipindishaNchi ilisha pinda hii
We ulisikia wapiTumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa kuipindisha
Nilisikia kwa chawa alipotenda miujiza hadi chawa wakapeewa uwezo wa kuongea, kusifu na kusujudu mwanangu.We ulisikia wapi