Napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea Samia Suluhu aendelee kutenda mema

Niache kula nimwombee mgeni aendelee kuitawala nchi yangu huku Mimi kwake siruhusiwi hata kuwa mwenyekiti wa shehiya.
Wewe una pepo matakoni si bure
 
 

Muombee aache kutenda Nabaya. Mtaani huku mabaya ni mengi kuliko mazuri.
 
Nishakuelewa
 
Mimi nina miezi kadhaa nimefunga kuiombea CCM ife kabisa maana ni wauwaji na wakamizaji amani hapa nchini
 
Mtaani kwetu karibia kila mtu kafunga kuiombea CCM ife, sijuwi nyie wenzetu huko kwenu.
 
Eleweni fasihi aliyoitumia mleta uzi
Kabla ya kukushukuru, kwanza, namshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kwa kukuwezesha kulijua hili na kulisema. Nakushukuru kwa kunisaidia kuelimisha wale ambao hawakubahatika kusoma na kuelewa fasihi. Tumshukuru sana. mheshimwa rais daktari profesa.
 
Aanze kwanza kutenda mema kisha tumuombee aendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…