Napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea Samia Suluhu aendelee kutenda mema

Kweli mkuu, huyu ni mzee mpumbavu kinoma, anafaa kufa hana faida yoyote Duniani
Sasa kitu kidogo tu kama hicho umeshindwa kumuelewa ukiitwa wewe ndio mpumbavu utalaumu? Shule mlienda kuuza sura tu nyinyi. Soma elewa ndio uongee acha kutuambia kwamba wewe ni zao la elimu yetu mbovu
 
Labda kumuombea mauti
 
Watu wenye matatizo ya akili kama huyu mtoa mada ni wengi sana na ndio mtaji wa mboga mboga
 
Watu wenye matatizo ya akili kama huyu mtoa mada ni wengi sana na ndio mtaji wa mboga mboga
Tatizo si mada wala mtoa mada bali ukihiyo mwanangu. Hata hivyo, tumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kuwa na watu kama wewe
 
Anahitaji kuombewa mapepo ya tamaa ya madaraka yamtoke.
 
Bakwata wanastahili lawama! Tangu walipofanya ile dua yao yao kumjaza mama yetu majini, naona mambo yamekuwa tofauti kabisa.
 
Funga mwenyewe usituhusishe
 
Mume wake akifunga na kuombea inatosha.

Sisi wengine tumejikita na no reforms no election.
Nawe mwambie mumeo na hawara yako wafunge pia ukiwemo wewe lau mama aendelee kupata maono ya kunenepesha machawa
 
Mimi ndio mume...una swali jingine kidampa wa mama Abdul?
Hapana wewe ni kihiyo tena chokooo ambaye hata ukisoma vitu rahisi haviingii akilini mwanangu. Hata hivyo, ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH. aU vipi? Si inapendeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…