Napendekeza Watanzania na wanadamu wote tufunge kumuombea Samia Suluhu aendelee kutenda mema

Hapana wewe ni kihiyo tena chokooo ambaye hata ukisoma vitu rahisi haviingii akilini mwanangu. Hata hivyo, ni jambo la kumshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH. aU vipi? Si inapendeza?
Samia ni daktari na profesa wa uchawa?
 
Samia ni daktari na profesa wa uchawa?
Yep. Ni jambo la kumshukuru mama mfuga chawa pia mwenyezi Mungu aliyemjalia akili kupita wanadamu wote hadi akawa na uwezo wa kutumia chawa kubaki ikulu.
 
Kumradhi! Kuna changamoto kidogo

You do not have permission to view this page or perform this action
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…