Napiga mashuzi ya hatari naomba msaada

Wana jamii,

Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali

Hiyo ni dalili ya ulcers mkuu
 
hivyo ni vidonda vya tumbo, wahi tiba mapema kabla ya kuathirika zaidi kama vile kupoteza nguvu za kiume
 
Usile na kunywa maji subiri nusu saa unywe usile maharage kunde njegere kama wiki baada ya hapo ule Mara moja moja kunywa maji mengi lita 3 kwa siku tafuta Dawa inaitwa relcer gel unywe baada ya Kula usile mapilau na pia ule kwa kiasi si ufakamie Chakula kingi na pia usibugie ubapokula utafune kama mbuzi
 
Wana jamii,

Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali

Threads zako zote za kiFB kwahiyo hata kama unaweza kuwa na tatizo kweli watu watajua bado una akili za kitoto.

Ushauri wangu na mimi: Kapigwe bomba nyuma wakatoe Mayonaise ya kiume.
 
Wana jamii,

Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali

Chomeka gunzi mkuu.......Duhh harufu inawrza tokea masikioni...
 
Wana jamii,

Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali

Hapa hospitali? Michezo yenu ya utotoni inawaumbuwa.
Wewe ulikuwa unakuwa mama?
Wenzako tulikuwa tunakimbilia angalau ujomba hivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…