Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jamii,
Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali
hivyo ni vidonda vya tumbo, wahi tiba mapema kabla ya kuathirika zaidi kama vile kupoteza nguvu za kiume
Wana jamii,
Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali
Hiyo ni dalili ya ulcers mkuu
Wana jamii,
Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali
Threads zako zote za kiFB kwahiyo hata kama unaweza kuwa na tatizo kweli watu watajua bado una akili za kitoto.
Ushauri wangu na mimi: Kapigwe bomba nyuma wakatoe Mayonaise ya kiume.
maana ya uclers ni nin?