Napiga mashuzi ya hatari naomba msaada

Punguza kula kunde,utawaua wenzio,ila usihofu hata obama anapuliza
 
We ndugu umepewa ushauri mwingi humu toa feedback kama imeshindikana ukapigwe Bomba muhimbili
 
hatuwezi ku extract huo ushuzi tukauzalisha kwa wingi tupate dawa za kuulia wadudu waharibifu?
 
mkuu cheki hospitali

shuzi baya laweza kuwakilisha zaidi ya sababu 30
 
Piga madude kama hotdogs, yadangs,zeygens,pizza, na punguza kunywa juice ya parachichi
 
Wana jamii,

Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali

Mkuu ungeweka na picha kabisa ili tujue vizuri tatizo na tukusaidie.
 
Wana jamii,

Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali

Acha tabia ya kula mayai ya kuchemsaha......... yaleee ya stand!
 
Wana jamii,

Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali

hapo tatizo litakuwa nati zimelegea ili kuondoa tatizo nenda dukani nunua superglue then bandika hapo panapotokea hewa tatizo litakuwa limekwisha.
 
Aisee hilo deal..tafuta bomba la gesi usupply gesi hapo mtaani kwenu...

Hahaaaa natania best nenda kamwone daktari.
 
Pole Mdau kwa kutoa hiyo mishuzi ya kufa mtu,kunywa sana maji hope mambo yatakuwa mazuri
 
Dah! Aisee wadau mna majibu hatari kweli.

Natumai mtoa mada amepata mawili matatu ya kusaidia kupunguza kama si kuondoa tatizo.

Tatizo hili limewakumba watu wengi sana, inasemwa na nwataalam wengi kwamba ulaji wa vyakula wa hovyo hupelekea matatizo lukuki mwilini mwa mtu. Inawezekana upumuaji huo unatokana na tatizo lingine la kiafya, ila kama tutabadili namna ya ulaji wetu wa vyakula itapelekea stability nzuri ya afya miilini mwetu. Unakuta mtu anakula chakula hapohapo ana bilauri ya maji halafu ulaji wenyewe ndani ya dk tatu kamaliza kumeza kila kitu.

Wengi waliopost hapa inawezekana kabisa wana tatizo hili lakini kwa sababu watu wana utamaduni wa kujinyanyapaa ndo maana yametoka majibu ya vinja mbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…