Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jamii,
Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali

Nadhani,... maana kama unapiga mishuzi na chembe ya moyo inawaka cheki vidonda vya tumbo. Pole mkuuHiyo ni dalili ya ulcers mkuu
Wana jamii,
Mimi ni kijana wa miaka 24, nina tatizo la kujamba mara kwa mara na harufu yake ni balaa na huwa haitoki sauti, yaani najamba kimyakimya, hebu nisaidieni jamani tafadhali
hapo tatizo litakuwa nati zimelegea ili kuondoa tatizo nenda dukani nunua superglue then bandika hapo panapotokea hewa tatizo litakuwa limekwisha.
maana ya uclers ni nin?