Napiga mashuzi ya hatari naomba msaada

Napiga mashuzi ya hatari naomba msaada

Kuna siku nilikua napiga mashuzi mfululizo,yale ya kimya kimya,yananuka,wakati naendelea kutusua na nipo mwenyewe dukan,mara akaingia dada mrembo na kukuta shuzi linaanza kusambaa,weeeee

Acha kunivunja mbavu zangu mkuu.
 
Kapime mzee usione gharama.utapata jibu sahihi ya tatizo lako.vinginevyo tutakuwa tunakisia tu.
 
Back
Top Bottom