Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2015 Zitto ndio mpinzani pekee aliyebaki bungeni wakati wapinzani wote walipotoka kupinga dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar , vuta kumbukumbu .Focus ya Maalim siku zote ni Zanzibar. Mambo ya Bara huwa ni by the way kabisa kwao. Ni kweli kuwa Zitto kwa vyovyote atachafuka katika suala lote hili. Itabidi afanye kazi ya ziada kuwapa imani wapinzani wenzake makini bara. Hasa baada ya chama chake sasa kuwa chama kikuu cha upinzani Bungeni kama wale 19 wataonekana kuwa wamekosa sifa za kuwa wabunge.
Amandla...
🤣🤣Kamati kuu ya ACT imeamua, wewe unapinga kama nani?! Pambana na yanayoendelea kwenye chama chako.
Nimepinga baada ya Tamko laoHivi unajielewa ? ACT Wametoa Tamko tayari unapinga Nini? Wenye chama wameamua
PoleNaomba kwanza niweke wazi kabisa kwamba mimi si mwanachama wa chama cha ACT WAZALENDO na pia si mfuasi wake na wala siingilii msimamo wa viongozi wa chama hicho kama wao wenyewe walivyoamua , bali ifahamike kwamba mimi kama Mtanzania wa kuzaliwa ninayo haki ya kujadili makandokando yoyote yanayojitokeza ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila kuwekewa mipaka na yeyote kwa sababu zozote zile ...
🤣🤣2015 Zitto ndio mpinzani pekee aliyebaki bungeni wakati wapinzani wote walipotoka kupinga dhuluma ya uchaguzi wa Zanzibar , vuta kumbukumbu .
Maalim Sharif ,Unaweza kuta Zitto kazidiwa nguvu na wakina Maalim.
Amandla...
🤣🤣ACT
ACT ndo washaingia SUK tayari. Ingawa wewe si mwanachama, tambua kuwa chama hiki ni "mshirika" chama chako CDM.
Lakini kwakuwa ACT wanaungana na CCM kujenga SUK, wao sasa ni CCM-B na nyie kama washika wao mnakuwa CCM-C kwa maana rafiki wa rafiki yako naye ni rafiki yako pia. Na kama hutaki iwe hivyo, basi jilaumu kuwa chama chako kilifanya utopolo kujinasibisha na ACT ya Seif kwenye harakati za uchaguzi uliopita..!!
Naamini unaanza kuelewa kuwa Mwanasiasa hayupo kwa Maslai ya Taifa au wananchi Bali wapo kwa ajili ya madaraka au Utawala tuUnajisi mtupu! Zto alitaka "kumpindua" Mbowe kwa kutaka madaraka-uenyekiti, hivyo kwa hili waliloliamua, sishangai katu!
Basi kajinyonge!Mtanzania Mzalendo mpinga uovu
Nitawanyoosha humuhumuBasi kajinyonge!