Napinga ACT-Wazalendo kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) huko Zanzibar

Lea mume na wanao..mambo ya siasa huyajui na wanasiasa utawajua kwa kuchelewa sawa..

Mbowe mwenyewe alishasema katika siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu..
Mbowe hakuwahi kusema tuwe na urafiki na Shetani
 
Maamuzi ya chama chao yaheshimiwe kama walivyofukuzwa wakina mdee siasa ni maono!
 
Mbowe hakuwahi kusema tuwe na urafiki na Shetani
Hiyo ni kwa mujibu wa maoni yako mdandiaji wa siasa..kama walizunguka miaka nane kumchafua lowasa na kisha ndani ya siku moja kumsafisha kwa gharama yao wanashindwaje kuungana kwenye ulaji..

Nyie wapambe mnatakiwa mbakize maneno ya kesho..
 
Naomba kwanza niweke wazi kabisa kwamba mimi si mwanachama wa chama cha ACT WAZALENDO na pia si mfuasi wake na wala siingilii msimamo wa viongozi wa chama hicho kama wao wenyewe walivyoamua , bali ifahamike kwamba mimi kama Mtanzania wa kuzaliwa ninayo haki ya kujadili makandokando yoyote yanayojitokeza ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila kuwekewa mipaka na yeyote kwa sababu zozote zile...
Mkuu title ingeonesha anayepinga ni Juma Duni Haji ambaye si mwanachama wa ACT Wazalendo. Huyu ni Juma Duni Haji yule tunayemfahamu au wa Chamazi?
 
CT Wazalendo sio Chadema wa kuzira kila kitu. Mna taratibu zenu na wao wana zao.
 
Kwann hamtaki ushirikiano? Haiwezekani uchaguzi kurudiwa, haiwezekani TL kushinda, haiwezekani Mbowe kuwa waziri mkuu.

Inawezekana kushirikiana Mbowe, TL na ccm, kuhubiri TZ yenye amani huko duniani, kuvutia wawekezaji wapya, biashara, utalii,umoja wa kitaifa na mshikamano.
Utalii mnauharibu wenyewe halafu mnalaumu upinzani, jiondoeni kwenye uongozi kama mnategemea upinzani
 
Mtanzania Mzalendo mpinga uovu
soon taarifa itakuwa "kamati kuu cdm yawasamehe mdee na wenzake,waendelea na ubunge wao kama kawaida,erthrocyte azimia,Bak na bujibuji watoroka jamii forum "😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu title ingeonesha anayepinga ni Juma Duni Haji ambaye si mwanachama wa ACT Wazalendo. Huyu ni Juma Duni Haji yule tunayemfahamu au wa Chamazi?
kwanini umemhusisha Juma Duni?
 
Naomba kwanza niweke wazi kabisa kwamba mimi si mwanachama wa chama cha ACT WAZALENDO na pia si mfuasi wake na wala siingilii msimamo wa viongozi wa chama hicho kama wao wenyewe walivyoamua , bali ifahamike kwamba mimi kama Mtanzania wa kuzaliwa ninayo haki ya kujadili makandokando yoyote yanayojitokeza ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bila kuwekewa mipaka na yeyote kwa sababu zozote zile...
Yes. It is a sensible and painful remark. Can it make them revisit the decision already made? I highly doubt.
 
Back
Top Bottom