Napinga ACT-Wazalendo kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) huko Zanzibar

Lea mume na wanao..mambo ya siasa huyajui na wanasiasa utawajua kwa kuchelewa sawa..

Mbowe mwenyewe alishasema katika siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu..
Mbowe hakuwahi kusema tuwe na urafiki na Shetani
 
Maamuzi ya chama chao yaheshimiwe kama walivyofukuzwa wakina mdee siasa ni maono!
 
Mbowe hakuwahi kusema tuwe na urafiki na Shetani
Hiyo ni kwa mujibu wa maoni yako mdandiaji wa siasa..kama walizunguka miaka nane kumchafua lowasa na kisha ndani ya siku moja kumsafisha kwa gharama yao wanashindwaje kuungana kwenye ulaji..

Nyie wapambe mnatakiwa mbakize maneno ya kesho..
 
Mkuu title ingeonesha anayepinga ni Juma Duni Haji ambaye si mwanachama wa ACT Wazalendo. Huyu ni Juma Duni Haji yule tunayemfahamu au wa Chamazi?
 
CT Wazalendo sio Chadema wa kuzira kila kitu. Mna taratibu zenu na wao wana zao.
 
Utalii mnauharibu wenyewe halafu mnalaumu upinzani, jiondoeni kwenye uongozi kama mnategemea upinzani
 
Mtanzania Mzalendo mpinga uovu
soon taarifa itakuwa "kamati kuu cdm yawasamehe mdee na wenzake,waendelea na ubunge wao kama kawaida,erthrocyte azimia,Bak na bujibuji watoroka jamii forum "😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mkuu title ingeonesha anayepinga ni Juma Duni Haji ambaye si mwanachama wa ACT Wazalendo. Huyu ni Juma Duni Haji yule tunayemfahamu au wa Chamazi?
kwanini umemhusisha Juma Duni?
 
Yes. It is a sensible and painful remark. Can it make them revisit the decision already made? I highly doubt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…