Napinga Askofu Gwajima kukamatwa

Huwezi kuita mtu mpumbavu kwa sababu hakubaliani na upande wako/hakubaliani na unachokiamini. Inamaana angeikubali chanjo ndo asingeonekana mpumbavu? Acha kiburi wewe
Lolipopu mbona hiyo imekupain Sana,kwani ni mmoja wa wanakondoo?
 
ukabila ni hatari sana !
 
unamtetea kijanja sana ! tumestuka
 
I think kutuhumu watu kwa rushwa was a little bit overboard
 
He is not Stupid!
Chanjo hapa kwetu ni hiari amechagua hiari ya kutochanjwa yeye na watu wake. Huwezi muita mpumbavu
he is very stupid

Kama ni hiyari, basi akae kimya au atoe sababu za msingi... kutuhumu rais kapewa pesa is way beyond his weight

Acha akumbane na rula ya mwalimu
 
The problem is most people are still young and stupid ! and that's our problem
 
he is very stupid

Kama ni hiyari, basi akae kimya au atoe sababu za msingi... kutuhumu rais kapewa pesa is way beyond his weight

Acha akumbane na rula ya mwalimu
Hakuna haja ya kupambana na mpumbavu aisee!
 
Huwezi kuita mtu mpumbavu kwa sababu hakubaliani na upande wako/hakubaliani na unachokiamini. Inamaana angeikubali chanjo ndo asingeonekana mpumbavu? Acha kiburi wewe
Ni mpumbavu…
 
Huwezi kuita mtu mpumbavu kwa sababu hakubaliani na upande wako/hakubaliani na unachokiamini. Inamaana angeikubali chanjo ndo asingeonekana mpumbavu? Acha kiburi wewe
Jamaa mpuuzi kweli huwezi kumuita mpumbavu mtu anaye criticize.....
ni kawaida ya binadamu kuto kubaliana....
cha msingi unaheshimu upande wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…