UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kwanini usiite ni uhuru wa kutoa maoni ambao kipindi cha Magufuli haukuwepo? usiite dharau bali huo ni uhuru wa kutoa maoni.Mfano ingekuwa Jiwe ndiye kaleta chanjo, huyo Gwajiboy angeweza kuwa anaongea hayo anayoyasema kwa kujiamini hivyo? Au ni dharau kwa mamlaka kwa sababu kabaki mama baada ya mwendazake kusepa!