Napinga Askofu Gwajima kukamatwa

Napinga Askofu Gwajima kukamatwa

Na huezi ukapingana na serikali Kama unapingana na wajinga flani kwa kupayuka payuka,na badala ya kuzungumzia neno la MUNGU unazungumzia Mambo ya kidoctor ambapo wewe si doctor
 
He is not Stupid!
Chanjo hapa kwetu ni hiari amechagua hiari ya kutochanjwa yeye na watu wake. Huwezi muita mpumbavu
Kimwetere aliwaingiza mkenge waumini kimasihara Kama hivi,watu wake gwajima since akawa na watu,je siku akitokea nabii nakusema watu wangu marufuku kwenda shule
 
Kuna watu huwa wanaona chama chao ni bora na tishio kwa vile serikali inavyoangaika nao mara polisi mara mahakamani, kwao hicho ni kigezo cha kwamba chama chao ni tishio kwa serikali ndio maana serikali inaangaika nao. Ila angalia sasa hiyo serikali yenyewe inaangaika hadi na Gwajima tu na ilishaangaikaga hadi na Nabii Tito.
 
Askofu Gwajima should not be arrested and here is why:

His anti- COVID-19 vaccine is stupid.

Stupid people are entitled to their stupid ideas and opinions.

They have the right to be stupid and to be wrong.

Stupidity can’t be legislated. It can’t be fixed.

He and his stupid flock should be left alone to wallow in their stupidity.

Badala yake, vyombo vya dola vijikite kupambana na uhalifu na viachane na mambo ya kipumbavu.

Anti-vaxxers wapo duniani kote.

Tusitumie nguvu kuwaziba midomo hawa wa kwetu.

Napinga kukamatwa kwa Askofu Gwajima endapo atakamatwa.

Akipotezwa itapendeza zaidi huyu Gaidi wa Kiimani Tanzania nzima.
 
Askofu Gwajima should not be arrested and here is why:

His anti- COVID-19 vaccine is stupid.

Stupid people are entitled to their stupid ideas and opinions.

They have the right to be stupid and to be wrong.

Stupidity can’t be legislated. It can’t be fixed.

He and his stupid flock should be left alone to wallow in their stupidity.

Badala yake, vyombo vya dola vijikite kupambana na uhalifu na viachane na mambo ya kipumbavu.

Anti-vaxxers wapo duniani kote.

Tusitumie nguvu kuwaziba midomo hawa wa kwetu.

Napinga kukamatwa kwa Askofu Gwajima endapo atakamatwa.
Lakini upuuzi unapoelekea kuvunja amani na kuwa jinai ni lazima kukamatwa,kusema kuna watu wamekuka rushwa iki corona iletwe ni lazima uthibitishe hayo madai

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Hivi ni kweli Askofu Gwajima alisema kwamba ile siku ya kuzindua chanjo kuna baadhi ya viongozi walifeki kuchanjwa ili kutahandaa watanzania?
 
he is very stupid

Kama ni hiyari, basi akae kimya au atoe sababu za msingi... kutuhumu rais kapewa pesa is way beyond his weight

Acha akumbane na rula ya mwalimu
Ninemsikiliza sana Gwajima sijasikia mahali alisema rais kapewa pesa,labda km kuna video nyingine!
Ila aliwalalamikia baadhi ya wataalam ....
 
Askofu Gwajima should not be arrested and here is why:

His anti- COVID-19 vaccine is stupid.

Stupid people are entitled to their stupid ideas and opinions.

They have the right to be stupid and to be wrong.

Stupidity can’t be legislated. It can’t be fixed.

He and his stupid flock should be left alone to wallow in their stupidity.

Badala yake, vyombo vya dola vijikite kupambana na uhalifu na viachane na mambo ya kipumbavu.

Anti-vaxxers wapo duniani kote.

Tusitumie nguvu kuwaziba midomo hawa wa kwetu.

Napinga kukamatwa kwa Askofu Gwajima endapo atakamatwa.
The only person looks stupid here is you and your flocks. You are doing the same thing Dorothy did to Bishop.People can not be stupid just because they don't agree with your views or decisions.

I would advise you and your colleagues to respond to the key issues concerning the vaccine, attacking someone's personality won't give you the credibility toward ant-vaccine especially when the facts are clear and well known to everybody.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Are you asking me?

You called Rev. Gwajima and the whole of his church flock "stupid"....

So, in my opinion, a person can be stupid if he/she reads and believes what you've just said about Rev. Gwajima and his church followers being stupid...!!
He deserves not to be called Rev
 
1629267590089.png
... kabhisa kabhisa poti, pamoja sana!
 
Back
Top Bottom