Napinga Askofu Gwajima kukamatwa

Mfano ingekuwa Jiwe ndiye kaleta chanjo, huyo Gwajiboy angeweza kuwa anaongea hayo anayoyasema kwa kujiamini hivyo? Au ni dharau kwa mamlaka kwa sababu kabaki mama baada ya mwendazake kusepa!
Kwanini usiite ni uhuru wa kutoa maoni ambao kipindi cha Magufuli haukuwepo? usiite dharau bali huo ni uhuru wa kutoa maoni.
 
He is not the first leader of a fanatic cult whose demagoguery led to disastrous consequences on his followers.

There were Reverend Jim Jones, David Koresh and Joseph Kibweteere to mention a few.

The latter is much more closer to home which should show us that we are no excemption from what is happening in the rest of the world.

I don’t advocate for his arrest, which will only give him the much coveted(by such people) status of a matyr.

I think he will self destruct or subside like others before him.

Needless to say, the state need to keep a close watch on such of its wayward citizens and intervene when necessary.
 
How dare you call that idion a bishop!
 
Kwanini usiite ni uhuru wa kutoa maoni ambao kipindi cha Magufuli haukuwepo? usiite dharau bali huo ni uhuru wa kutoa maoni.
Uko sahihi lakini maoni yasivuke mipaka mpaka kudharau mamlaka ya nchi
 
Huyu Dr kigeugeu hawezi kushindana na gari kubwa ambalo magurudumu yake yako duniani lakini injini yake iko mbinguni!
 
I guess, we won't rule out your participation in the racket of ensuring he is "mahututi".
Hahahaaaaa
Sina power hizo

Mungu Ana namna zake za kutukumbusha umuhimu wa maarifa kuliko righteousness
 
Mbona upinzani upo duniani kote lakini hujawahi pinga wapinzani wa Tanzania kukamatwa?! Au kwa kuwa kaguswa kijani mwenzio!
 
He is not Stupid!
Chanjo hapa kwetu ni hiari amechagua hiari ya kutochanjwa yeye na watu wake. Huwezi muita mpumbavu
Inaonekana, eidha waliosema kuwa ni HIARI hawakuelewana au maana ya HIARI waijuayo wao siyo ile tuijuayo sisi...

Wengine wametumia HIARI Yao wakapima na wakapiga na video..!!!
 
🤣🤣🤣🤣

Bora ungeandika Kiswahili tu aisee.
 
Mbona upinzani upo duniani kote lakini hujawahi pinga wapinzani wa Tanzania kukamatwa?! Au kwa kuwa kaguswa kijani mwenzio!
Una uhakika sijawahi kabisa kupinga kukamatwa kwa wanasiasa wa upinzani Tanzania au unaropoka tu asiye na akili?
 
he is very stupid

Kama ni hiyari, basi akae kimya au atoe sababu za msingi... kutuhumu rais kapewa pesa is way beyond his weight

Acha akumbane na rula ya mwalimu
Acha uongo nenda kasikilize tena mahubiri yake
 
Kimwetere aliwaingiza mkenge waumini kimasihara Kama hivi,watu wake gwajima since akawa na watu,je siku akitokea nabii nakusema watu wangu marufuku kwenda shule
Ficha ujinga wako, Suala la chanjo na elimu ni tofauti
 
Ushahidi/ uthibitisho kuwa sijawahi kupinga wanasiasa kukamatwa kwa wanasiasa upinzani wa Tanzania.
Sijasema ninaushahidi nimesema ninauhakika, hujawahi kuandika kuhusu hilo unategemea utakuwepo ushahidi wa aina gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…