Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
-
- #81
Uhakika wako kuwa sijawahi kuandika kupinga kukamatwa kwa wanasiasa wa upinzani unautoa wapi?Sijasema ninaushahidi nimesema ninauhakika, hujawahi kuandika kuhusu hilo unategemea utakuwepo ushahidi wa aina gani!
You are a stupid person of similar magnitude. You similarly have that right.
Askofu Gwajima should not be arrested and here is why:
His anti- COVID-19 vaccine stance is stupid.
Stupid people are entitled to their stupid ideas and opinions.
They have the right to be stupid and to be wrong.
Stupidity can’t be legislated. It can’t be fixed.
He and his stupid flock should be left alone to wallow in their stupidity.
Badala yake, vyombo vya dola vijikite kupambana na uhalifu na viachane na mambo ya kipumbavu.
Anti-vaxxers wapo duniani kote.
Tusitumie nguvu kuwaziba midomo hawa wa kwetu.
Napinga kukamatwa kwa Askofu Gwajima endapo atakamatwa.
🤣🤣🤣🤣You are a stupid person of similar magnitude. You similarly have that right.
The Minister have similar stupidity like your are asserting!
Kwa mantiki hiyo, Viongozi wote wa dini ni stupid. Wote hawa kwa zaidi ya miaka 30 wamekataa kukubali matumizi ya kondomu kwa sababu ambazo serikali imekuwa ikishindana nao. Hatuoni nguvu kama hiyo ikitumika.
Kwa sababu hujawahi kuandika ndo maana ninauhakika huo, Kama umewahi kuandika weka hapa ushahidi.Uhakika wako kuwa sijawahi kuandika kupinga kukamatwa kwa wanasiasa wa upinzani unautoa wapi?
Yupo sahihi na anasimamia anachoamini na kawapa MAKAVU hao mawaziri VINYONGA.View attachment 1896152
If you think this person is stupidy, then I advice you to adjust your thought of mind.
Kwanini akae kimya?he is very stupid
Kama ni hiyari, basi akae kimya au atoe sababu za msingi... kutuhumu rais kapewa pesa is way beyond his weight
Acha akumbane na rula ya mwalimu
Shit! Kondomu zimelazimishwa? Mbona viongozi wote wa dini wanazipinga?Raisi anawakilisha nembo ya Taifa, ukisema Tz, msemaji wake ni raisi, anaecheza na kauli za raisi asihojiwe? Labda huko kanisani kwake hahojiwi kuhusu ufufuko, ila akicheza na Taifa analo. Akamatweeeeeeeeeeeeeeee!!
Atakamatwa tu huyo free masonry
Imekuuma neno free mason?Ila we jamaa Mmawia akili zako huwa ni zako peke yako sijui huwa unashirikisha nini kwenye mawazo yako?!
Post in thread 'Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti'Kwa sababu hujawahi kuandika ndo maana ninauhakika huo, Kama umewahi kuandika weka hapa ushahidi.
Post in thread 'Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021'Kwa sababu hujawahi kuandika ndo maana ninauhakika huo, Kama umewahi kuandika weka hapa ushahidi.
Kwa sababu hujawahi kuandika ndo maana ninauhakika huo, Kama umewahi kuandika weka hapa ushahidi.
Hapana aseme msukuma mwenzetu asikamatweSema hivi kijani mwenzetu asikamatwe.
Hapa ulikuwa bado ujawa wa kijani, nafahamu miaka minne nyuma hukuwa wa kijani.A Police State
What is a police state? Per the Oxford Learner's Dictionary, a police state is a "country where people’s freedom, especially to travel and to express political opinions, is controlled by the government, with the help of the police." Now, given what is currently going on since Magufuli's...www.jamiiforums.com
Hapa hakuna sehemu ulipopingaPost in thread 'Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021'
Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021
Na hapa pia hakuna sehemu ulipopingaPost in thread 'Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti'
Uchaguzi 2020 - Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti