Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Shukrani mkuu ndio maana nimeziweka pembeni 😁🙏🏽Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu ndio maana nimeziweka pembeni 😁🙏🏽Pole sana
Kwa msisitizo hizo coaster ziruhsiwe chache kila ruti na zibebe level seat tu watu wanne wanne tu bila kusimamisha abiria ili zisije kuua biashara ya daladala za kawaida ambazo ni msaada mkubwa sana kwa watu wa kipato cha chini.Hiyo mwendo kasi ni sikio la kufa. Gari inaweza toka Kimara mpaka Jangwani ipo tupu inarudi yard. Kwa akili za kawaida kibiashara inategemewa ibebe walau abiria wanaoshukia njiani mpaka Jangwani lakini inawapita abiria vituo vyote mpaka inafika Jangwani. Watu wameshatoa sana maoni ya maana hapa JF na mpaka wao wenyewe walikuja wakafungua uzi wao hapa lakini hakuna hata ushauri moja waliotekeleza kwa nini kampuni isife?
Serikali iruhusu wafanya biashara wenye uwezo na uzoefu kwenye sekta ya usafiri kama Bakheresa, Abood, Shabiby na wengineo wapewe baadhi ya ruti kwa mfano Bakharesa unampa ruti ya Mbezi - Kariakoo na Abood unampa ruti ya Mbezi - Feri tu hakuna kusimama mahali. Hapa kati anabaki mwendokasi na mabasi yake mabovu ndio akili za kibiashara zitawakaa.
Serikali kama ina nia kweli ya kuondoa tatizo la usafiri kwa watu wa Dar iruhusu usafiri walau coaster chache zenye AC level seat ila waruhusiwe kuongeza nauli kidogo kwa mfano Kimara - Posta nauli iwe 1,500. Mwenye uwezo wa kupanda dala dala apande, mwenye uwezo wa kupanda coaster apande na hata mwenye uwezo wa kupanda mwendokasi apande. Ikumbukwe kuwa sasa hivi coaster nyingi zile zilizokuwa zinasafiri kwenda mikoani usiku maarufu kama hakuna kulala hazina kazi baada ya mabasi makubwa kuruhusiwa kusafiri usiku.
Ni mtizamo tu.
Ndio, hapo SAWA??Kwa hyo watu waendelee kuteseka?
Haiwezi kuwa sawa.hao udart walishafeli tena inatakiwa wapokonywe huo mradi apewe mtu binafsi.wameshindwa kujiendesha.Ndio, hapo SAWA??
Wewe unataka ufike kazini kwako au unataka mradi WA brt!? Zingatia Zaidi Mambo Yako acha wivuHapa wakisoma lazma wacheke kwa nguvu 😁😁
Umaskini uliopo ni reflection tosha ya uoga wetu na labda tusubiri hiki kizazi kiburi, jeuri na chenye mawazo huru "2000 kids" Maana wanaonesha matumaini ya uthubutu ila hiki kilichopiga kura kati ya mgombea na kimvuli. Sahau mkuu 😁
Nasikia CCM wote wanataka pesa kutoka hapoHaiwezi kuwa sawa.hao udart walishafeli tena inatakiwa wapokonywe huo mradi apewe mtu binafsi.wameshindwa kujiendesha.
tutafika tumechoka sana, kama hawa ndio watanzania basi kazi ipoWewe unataka ufike kazini kwako au unataka mradi WA brt!? Zingatia Zaidi Mambo Yako acha wivu
Mkuu hiyo kazi sina ndio maana kila jioni ikifika huwa naenda posta ya zamani kucheki view bora kabisa ya BRT. Sasa wakiweka na daladala wataharibuWewe unataka ufike kazini kwako au unataka mradi WA brt!? Zingatia Zaidi Mambo Yako acha wivu
Anajihujumu mwenyeweHii ndio serikali ya mama na anaupiga mwingi ila **** watu wanamuhujumu mama ili 2025 aonekane kituko. Washajua wapo na uongozi dhaifu kwanini wasiwafanyie madudu
Ndio maana sipendi kufuatilia siasa za tz maana zinaniumiza kichwa tu
Ule mradi wao wanaungangania kuendesha wakati wao kuendesha
Hawawezi na hawatokuja kuweza kuendesha...wampe tu mwekezaji/mtu binafsi tu
wao wanachoweza ni kuchota mijihela na kula basi
Ova
Hope watatumia mixed Lane na Sio special Lane za brtMkuu hiyo kazi sina ndio maana kila jioni ikifika huwa naenda posta ya zamani kucheki view bora kabisa ya BRT. Sasa wakiweka na daladala wataharibu
Najitambua sana kuliko unavyofikiria ila Kwa Mambo yalivyo Wala usiumize sana kichwa chako, na iwe iwavyo ila Bora uwe na amanitutafika tumechoka sana, kama hawa ndio watanzania basi kazi ipo