Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
mbona wewe umenisikiliza sasa ?Hakuna aliekusikiliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona wewe umenisikiliza sasa ?Hakuna aliekusikiliza
-naona graduate wa KIU umekujaKwenye diploma hamna kitu kinaitwa 'first class'
First class inatumika kwenye degree tu.
Law School hawatoi degree bali ni Post Graduate Diploma in Legal Practice, PGDL, na Certificate.
Naona mjadala umejaa kenge!
Sawa-naona graduate wa KIU umekuja
Nakujibu hivi: Kwanza siyo kweli kuwa mchele wa Kyela ndiyo mchele mtamu duniani. Mchele wa Kyela ya sasa hovi ni kati ya michele ya ovyo sana duniani maana unapandwa kwa kurumia mbolea za chumvi chumvi, kama unabisha njoo hapa mimi nipo Kyela.
Pili kwa kutokumwamini Dr Mwakyembe kwa sababu ulizozitoa inaonesha kabisa wewe ni mmoja wa hao waliofeli mtihani huo maana sababu ulizozitoa za kumkataa Dr aliyebobea katika sheria tena aliuesoma wakati ule na siyo wa sasa, hazina mashiko yoyote!
Uzuri ni kwamba hata kama unapinga uteuzi wake, yeye tayari yupo kazini tunachosubiri ni ripoti yake na tume yake!
Sasa si utoe hoja zako mkuu? Chuki tu ndio maana watanzania tunaonekana wapumbavu kila mahali. Mkuu katoa hoja zake na zimeeleweka wewe unakuja hapa na mahasira yako. Hata kama una mimba umezidi makasiriko bibie!Kuna tofauti kubwa mno kati ya hoja na viroja
Chupi walinyimwa hao!Hivi kufeli ni dhambi?
BAVICHA mnadandia kila kitu yaan,
uongo uko wapi ?Huyo jamaa ni muongo.
Huwa wanashindana vs mmawia.
-Huu ni uongo, Law School (pgdlp)pia kuna madaraja yake, eg first class inaanzia 3.0-2.7, second class inaanzia 2.0-2.6, pass ni 1.9-1.0Kwenye diploma hamna kitu kinaitwa 'first class'
First class inatumika kwenye degree tu.
Law School hawatoi degree bali ni Post Graduate Diploma in Legal Practice, PGDL, na Certificate.
Naona mjadala umejaa kenge!
Kenge ni wewe, Aikambee amekueleza kitaalamu kuwa hizo first class nk matumizi yake ni kwa levo ya digrii. Kuwa na madaraja LST ni sawa na kusema hata watoto wa chekechea wanavaa majoho wanapograduate kwa hiyo ni haki yao na serikali ilikosea kuwakataza kuvaa.-Huu ni uongo, Law School (pgdlp)pia kuna madaraja yake, eg first class inaanzia 3.0-2.7, second class inaanzia 2.0-2.6, pass ni 1.9-1.0
-mimi na ww nani kenge sasa?
Asante kwa kunisaidiaKenge ni wewe, Aikambee amekueleza kitaalamu kuwa hizo first class nk matumizi yake ni kwa levo ya digrii. Kuwa na madaraja LST ni sawa na kusema hata watoto wa chekechea wanavaa majoho wanapograduate kwa hiyo ni haki yao na serikali ilikosea kuwakataza kuvaa.
Hata hivyo bado unakua kenge kwa kuwa hayo madaraja ya LST unayoyataja hayatumiki wala kutajwa popote. Kinachoangaliwa ni status ya ufaulu wa mwanafunzi, PASS au FAIL.
-kwa hiyo kama hizo GPA hazina matumizi ndiyo hoja ya kusema hakuna gpa LST?Kenge ni wewe, Aikambee amekueleza kitaalamu kuwa hizo first class nk matumizi yake ni kwa levo ya digrii. Kuwa na madaraja LST ni sawa na kusema hata watoto wa chekechea wanavaa majoho wanapograduate kwa hiyo ni haki yao na serikali ilikosea kuwakataza kuvaa.
Hata hivyo bado unakua kenge kwa kuwa hayo madaraja ya LST unayoyataja hayatumiki wala kutajwa popote. Kinachoangaliwa ni status ya ufaulu wa mwanafunzi, PASS au FAIL.
kasome transcipt kuna sehemu imeandikwa KEY CLASSIFICATION ambapo imeonyesha First class ni ngapi, second class ni ngapi, na pass ni ngapiAsante kwa kunisaidia
Vijana tunawashukuru sana kwa kufunguka kisomi , lakini ni vema tukajikita kwenye hoja ili tuwasaidie wanaosoma kwenye shule hiikasome transcipt kuna sehemu imeandikwa KEY CLASSIFICATION ambapo imeonyesha First class ni ngapi, second class ni ngapi, na pass ni ngapi
-na pia gpa uliyopata unawekewa kama na 2.4 unaiona pale, halafu unashuka chini kuangalia kwenye key classification hiyo 2.4 Ni ngapi i.E iko kundi gani
Disemba 10, 2015 Rais Magufuli wakati akitangaza Baraza lake la Mawaziri alimteua Dk. Harrison Mwakyembe kuwa Waziri wa Katiba na Sheria nafasi aliyoishikilia mpaka 23 Machi 2017 alipobadilishiwa wizara na kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akijaza nafasi ya Bwana Nape Nnauye. Shule ya Sheria Tanzania (LST) ipo chini ya Wizara ya Katiba na Sheria.Vijana tunawashukuru sana kwa kufunguka kisomi , lakini ni vema tukajikita kwenye hoja ili tuwasaidie wanaosoma kwenye shule hii
Mwakyembe jiondoe kwenye tume hii harakaDisemba 10, 2015 Rais Magufuli wakati akitangaza Baraza lake la Mawaziri alimteua Dk. Harrison Mwakyembe kuwa Waziri wa Katiba na Sheria nafasi aliyoishikilia mpaka 23 Machi 2017 alipobadilishiwa wizara na kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akijaza nafasi ya Bwana Nape Nnauye. Shule ya Sheria Tanzania (LST) ipo chini ya Wizara ya Katiba na Sheria.
Malalamiko juu ya usahishaji wa mitihani na utoaji matokeo wa LST kuwa mbovu hayajaanza jana, ni ya muda mrefu toka tu shule hiyo ilipoanzishwa mwaka 2008. Pindi alipokuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Mwakyembe alikuwa akiisimamia shule hiyo na hata kufanya mazungumzo na watendaji wake hata hivyo hakuwahi kutoa uamuzi wowote juu ya mamalamiko hayo, tafsiri inayoweza kusemwa ni kuwa aliyapuuza. Mfano tarehe 22 Februari 2017 alitembelewa na makamu mkuu wa Chuo, Lukumay na viongozi wengine na kufanya mazungumzo wayajuayo wao ama labda walijitetea juu ya mamalamiko ya wanafunzi na akayaamini na kutochukua hatua, angalia hapa Law schoool wamtembelea dkt Mwakyembe ofisini kwake mjini Dodoma
Kumteua Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati itayochunguza malalamiko ambayo hakuyachukulia hatua ama ambayo aliyapuuza wakati wa uongozi wake wa Wizara sio jambo sawa. Kwanza tayari mtu huyu ana mgongano wa maslahi, maana anachunguza kitu ambacho anakijua tayari kwa kuwa malalamiko juu ya LST sio jambo jipya. Mheshimiwa Waziri Ndumbaro, tafadhali mteue mtu mwingine asiye na mgongano wa kimaslahi awe kiongozi wa kamati hiyo, Mwakyembe hastahili sio tu kuwa Mwenyekiti bali hata kuwa mjumbe wa kawaida wa Kamati hiyo.
Pichani ni Mwakyembe akiwa pamoja na Kina Lukumay ambao kimsingi ndio wanaotuhumiwa kuonea wanafunzi (LST).
View attachment 2386963
Hiyo ni kawaida sana! kwa watu km sisi!!........Hata wanasheria robo tatu walio fail wale! walisoma weeee! Darasani miaka kadhaa, lkn hawakuelewa !...wewe ni nani utuelewe sisi Manabii wa Mungu??Nimesoma weeeee !! lakini sijaelewa ulichoandika yaani !