Napinga: Hivi CAG Ana watu wenye utaalamu na hydropower stations, hakupaswa kutoa msimamo katika Mambo ya kitaalamu

Mashirika mengine kama KLM, KQ na ethiopian, emirates wanafaanyaje na za kwao pia haitengenezeki ingawa ni boeing hizo hizo?


Mafundi wapo apo Tandale na Kenya wana tengeneza na kutoa certificate kabisa pelekeni! Au South Africa pia
Kelele nyingi.... jamaa anahitaji majibu hapo juu.
 
Ukiskia mtu mzima ovyo basi ndio mfano wewe. Umeulizwa maswali huwezi kuyajibu unaandika upupu
Sawa zina tengenezeka piga makofi shangilia apo Tandale tu wana Zi tengeneza!
 
Acha ujinga! CAG si lazima awe na Wataalamu wa mambo ya umewekewa, ndani ya TANESCO kuna wataalamu ambao anawahoji kwa kina kutumia very technical questions na wengi ni WAZALENDO wa ukweli si kama UZALENDO uchwara wa maccm na hao wanaanika kila kitu hadharani. Acha KUKURUPUKA kama hujui ULIZA!!!
 
Basi asiseme kuwa hazitenegenezeki maana serikali inaweza kulipa fedha shirika kutengeneza izo ndege
 
Alichomaanisha ni kwamba, kama pesa iliyopangwa kutengwa kwa ajili ya kufanya matengenezo haijawahi kupatikana kupitia faida ya shirika ni kwamba zikiharibika hazitengenezeki maana hakuna fedha. Watu mbona hivi lakini?
 
Tunaposema kifo cha JPM kimepangwa muwe mnaelewa sasa.
 
Basi asiseme kuwa hazitenegenezeki maana serikali inaweza kulipa fedha shirika kutengeneza izo ndege
Kwa hivyo shirika litakuwa linachukuwa fedha kutoka serikalini kutengeneza ndege ambazo haziwezi kujiendesha. Mwisho inakuwa hasara tupu kama ilivyo sasa.

Mfano wako ukiona gharama za matengenezo ya gari ni kubwa kuliko faida unayopata unaishia kuliuza.
 
Alichomaanisha ni kwamba, kama pesa iliyopangwa kutengwa kwa ajili ya kufanya matengenezo haijawahi kupatikana kupitia faida ya shirika ni kwamba zikiharibika hazitengenezeki maana hakuna fedha. Watu mbona hivi lakini?
Serikali inaweza kulipa shirika fedha kutengeza ndege, ni shirika la umma hakuna tatizo serikali kulisaidia mpaka litakapojiweza ama pale itakapooneana haiwezekani kabisa. .
 
wewe ndiyo unayepinga umesomea wapi yaani upembuzi wa mmiiaaka 51 uje utumike leo, bei ya nono, saruji, mitanndo ya miaka 51 itumike leo,, mbonaa uunnajitoa uufahamu wwewe/
 
Mnapata wapi nguvu ya kuji fananisha na Emirates!! Na KLM!
Yani wewe uuze mihogo yako upate mia tano alafu unataka kujifananisha na bill gates!!? Inawezekana?
Bado hujajibu swali. Etiopia wana 787 deamliner, ya kwao haitenegenezeki pia?
 
Nikurudishe nyuma kidogo, CAG akiwa anatoa riport hii kwa mara ya kwanza kwa Mheshimiwa Rais alieleza wazi, ripoti yake imehusisha pia wakaguzi wa nje "Consultants". Kwa misingi hii ni wazi katika mradi complex kama huu alitumia hao wataalamu.
Hao "wataalamu" wa "nje" wa kutoa ushauri ili kukwamisha miradi ya kimkakati, hamstuki tu?
 
Tunaposema kifo cha JPM kimepangwa muwe mnaelewa sasa.
Kipangwe na nani na jamaa alikuwa na pacemaker? Harakati za uchaguzi zilimchosha sana, hivi alikuwa anatembea na msururu wa ambulances ngapi vile?
 
Kumbuka, shirika limefufuliwa likiwa na madeni.

Sema mfano wangu nikiona gari linatengeneza fedha na kuweza ku service mkopo hata ama sipati faida, niteendelea ulitenegeneza as long as ule mkopo naweza kupunguza
 
CAG alisema ndege zikihaibika hazitengenezeki, sijamuelewa. Alieelewa anieleweshe namie. Kwani hakuna Spea za Boeing na bombardier?
Unaposikia ndege hazitengenezeki cag ameangalia maeneo mawili la kwanza atcl imekodi ndege kwa wakala wa ndege za serikali,lakini hajalipa pesa bado kwa wakala wa ndege za serikali hadi cag anaandaa ripoti.

Hoja ya pili ni kwamba atcl ambayo ni shirika la Tanzania lina madeni makubwa nje ya nchi,hivyo service kubwa za ndege zinahitajika kufanyiwa nje ya nchi kwa mabeberu.Sasa ndege zitakamatwa hadi tulipe madeni.

Hoja ya tatu atcl ikipiwa billion 140 kwa ajili ya uendeshaji biashara ya ndege lakini hizo fedha hazijarudishwa serikalini kutokana na shirika kujiendesha kwa hasara.Kwa hoja hizo inamaana hazitengenezeki fedha za matengenezo hakuna na wakikopeshwa tena na serikali kuna uwezekano huko nje zikakamatwa na wadai wetu.
 
Yaani kuna mtu anasema serikali itoe pesa ikatengeneze ndege za shirika linalojiendesha kibiashara! Yaani ata mkipewa pesa mnakopeshwa na ni lazima muonyesha mtakavyozirudisha la sivyo pesa ya wananchi haiwezi kuwekwa hapo mzee, ikiwekwa report ya CAG itakayofuata mtalia wazee. CAG kaweka wazi, wanapata hasara, wanashindwa kurejesha ata nusu ya fedha za kukodishiwa sembuse fedha kwa ajili ya matengenezo! Yaani nikupe gari langu uendeshe kibiashara badala ya kuleta hesabu ili ipatikane na ya kulitengeneza mimi ndiye niwe nakupa wew pesa na biashara unafanya! Hivi mnaelew lakini? Zikiharibika hazitengenezeke kihasibu, siyo ki ufundi nyie wananchi.
 
Serikali inaweza kulipa shirika fedha kutengeza ndege, ni shirika la umma hakuna tatizo serikali kulisaidia mpaka litakapojiweza ama pale itakapooneana haiwezekani kabisa. .
Unajua maana ya shirika la umma linalojiendesha kibihashara wewe?
 
Unajua maana ya shirika la umma linalojiendesha kibihashara wewe?
Mashirika ya imma yote yanajiendesha kwa hasara hakuna hata moja linajiendesha kwa faida, yanasavaivu kwa ruzuku. Ndomana wanasema c vema serikali kufanya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…